House4Sale Nyumba mpya na ya kisasa inauzwa (standard house for sale)

Aisee nyumba kali sana sema sina pesa za kutosha, kama anakula 20m tukutane bank ( it is not a joke)
 
inside pictures
IMG-20180720-WA0036.jpg
IMG-20180720-WA0032.jpg
IMG-20180720-WA0041.jpg
IMG-20180720-WA0037.jpg
 
price is lowered
muhitaji serious aje akutane na boss.
 
Inakuwa lowered mpaka ngapi mana kuna watu wametoa offer ila umewatosa. So tusaidie bei ya mwenye house
hakuna aliyetoa offer, wengi ni wababaishaji tu, let's say mtu anakwambia amekutext pm while it's not true.
nimeweka namba kurahisisha upatikana hata kama siko online jf.
kuhusu bei hiyo ni negotiable!
asking price ndio hiyo 65m but amesema amepunguza endapo kuna mtu atakayeonekana yuko serious.
 
Noted mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom