julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
bafu lipo nje, bidada anatoka na kanga huku ameloa maji kwenda kusugua mguu kwenye jiwe nje, mi nimesmama tu namuangalia huku akijisugua....dah!
Unakuta nyumba moja ina wapangaji zaidi ya watano! Wapangaji hao wanashare luku,bafu,choo,n.k
Sasa imekuwa ni mbaya kwa jamaa mmoja baada ya kujikuta kumbe anashare mke wake na mpangaji mwenzie! jamaa ana mtoto wa miaka mitatu, alipata lifti ya kwenda kijijini alikwenda akalala bahati mbaya mwenye gari aligeuza baada ya siku mbili nje na makubaliano yaliyo kuwepo awali kuwa wange geuza baada ya siku nne ilimbidi naye ageuze! walipo fika Dar ilikuwa usiku kama ilivyo kawaida nyumba yao ina korido moja ya moja kwa moja na pande zote mbili ni vyumba, aliingia na kukuta mlango wa chumba chake umerudishiwa mtoto yumo peke yake! jamaa aliamsha wapangaji wenzake kutaka kujua mke wake kaenda wapi mmoja wa wapangaji hakutaka kufungua! walimtilia shaka mwisho wa siku wakamtuhumu na kuchukua hatua za kuvunja mlango wakamkuta mke wa jamaa kavaa kanga na kinguo cha ndani tu huku mshikaji anaomba msamaha tu!
Hakuchukua hatua zaidi ya kurudi ndani akalala na mwanae huku mke akiwa hapo nje ya mlango wao analia na kuomba msamaha usiku kucha! kesho yake kamrejesha bush.
Naomba watu mliopanga nyumba za namna hiyo kama kuna masingle kuweni makini hamtaishia kushare jiko,choo,bomba la maji, n.k hata mke mtashare!
jamaa aliamsha wapangaji wenzake kutaka kujua mke wake kaenda wapi mmoja wa wapangaji hakutaka kufungua! walimtilia shaka mwisho wa siku wakamtuhumu na kuchukua hatua za kuvunja mlango wakamkuta mke wa jamaa kavaa kanga na kinguo cha ndani tu huku mshikaji anaomba msamaha tu!
Hapo kwenye red, pamenifanya nisiiamini stori yako. Nyumba ya kupanga, jamaa karudi mkewe hayupo, amewagongea mlango mmoja hajafungua ndo wakavunja na mlango? Akili yangu bado haijakubali hapo
Hapo kwenye red, pamenifanya nisiiamini stori yako. Nyumba ya kupanga, jamaa karudi mkewe hayupo, amewagongea mlango mmoja hajafungua ndo wakavunja na mlango? Akili yangu bado haijakubali hapo
mkuu julius mahinya umeitwa huku na Daud omar
Ila wew umefkiri, wew Shigongo hebu ujue utuambie..
ASA your mocking some of us
Not fair kabisaa
Sasa nyumba kama hiyo ukute haina siling kwa juu, utaskia tu watu wanalia vilio vya furaha
wapo wengine hawana
mtoto anaye nyonya ila utafikiri mtoto ananyonyeshwa humo ndani! maana
kuna wengine ni kama uko baharini!