Nyumba kariakoo yagoma kubomoka

kweli ile nyumba imegoma kubomoka. wameamua kuahirisha hadi siku nyingine. wamesema wataibomoa wakisha maliza kubomoa nyumba nyingine. action mart ndo wanaohusika na kubomoa nyumba za walala hoi.
kilicho nisikitisha ni jinsi serikali ilivyo harakisha. yaani imeshinda kesi jana jioni leo alfajiri wanakuja kubomoa. je hao action mart waliambiwa saa ngapi?

hao jamaa walikuwa wanataka kucheza na mahakama. Yaani kama zoezi hilo lisingefanyika haraka wangekwenda tena court kuzuia. Hukumu ikitoka utekelezaji unaanza hapo hapo. Ukiwa na kesi siku ya hukumu jiandae kabisa, utashangaa hakimu anasema 'jela miaka 2 au faini sh. 1,000'. Kama huna buku kwisha habari
 
Mazee mbona fomula simpo sana hiyo? Jamaa katembeza mkwanja hadi atapohamisha v2 vyke ndo watabomoa! Usicheze na k2 pesa bana!
 
Back
Top Bottom