Nyumba kali inauzwa bei 48mil

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
375
Nyumba inauzwa Singida mjini, ina eneo zima viwanja vitatu vimeungana, iko kimpungua jirani na chuo cha uhazili kinapojengwa, ina vyumba vitatu, viwili ni self containied, ina sittng room, dining, jiko na stoo, public washrooms na kiwanja kimepandwa migomba na miti mbalimbali.
Bei 48mil kamili, 0754 459 572
 
Attachments

  • WP_20160511_028.jpg
    WP_20160511_028.jpg
    124.4 KB · Views: 70
  • WP_20160511_033.jpg
    WP_20160511_033.jpg
    29.8 KB · Views: 182
Nyumba inauzwa Singida mjini, ina eneo zima viwanja vitatu vimeungana, iko kimpungua jirani na chuo cha uhazili kinapojengwa, ina vyumba vitatu, viwili ni self containied, ina sittng room, dining, jiko na stoo, public washrooms na kiwanja kimepandwa migomba na miti mbalimbali.
Bei 48mil kamili, 0754 459 572
Nakushauri uongeze picha zingine ili kuvutia wanunuzi. Wanunuaji watataka kujua muonekano wa karibu na ndani kukoje. Hiyo picha umepiga kama unaogopa kusogelea karibu na hiyo nyumba. Pia ungetaja singida mjini sehemu gani.
 
Aliekudanganya kwamba wewe kwenye Picha unavutia kakudanganya,
Watu walitaka kuona picha ya Nyumba wewe umeweka ya kwako ili iweje??
Au nawe umo kwenye hiyo 48mil mnauzwa pamoja na Nyumba??
Hii nyumba siyo ya kwake, kwa maana hiyo hataweza kuleta picha za ndani na ndiyo maana ammepiga picha mbali tena porini ili wasimuone wenye nyumba
 
Nyumba inauzwa Singida mjini, ina eneo zima viwanja vitatu vimeungana, iko kimpungua jirani na chuo cha uhazili kinapojengwa, ina vyumba vitatu, viwili ni self containied, ina sittng room, dining, jiko na stoo, public washrooms na kiwanja kimepandwa migomba na miti mbalimbali.
Bei 48mil kamili, 0754 459 572
Tapeli masikini wewe, unajaribu kuuza nyumba ya watu! Nyumba haionekani, au unauza paa la nyumba ya mtu? Bambasket!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom