Nyumba kali inauzwa bei 48mil

Nyumba kali inauzwa bei 48mil

Niwajibu nini watu wanaocoment matusi tu?
Japo najua hawa wanaotukana hawawezi kununua lakini haina haja ya kuwajibu, hivi mtu ukisema kwamba nyumba sio yangu ni kweli itabadilika na kuwa yako au kuwa ya mwingine?
Je mwadhani hizi matusi sijui ujuaji wenu unarudisha nyuma maendeleo ya mtu?

Wanunuzi wameshajaa kwa kunipigia simu na hii ni miongoni mwa nyumba zangu kadhaa lakini hii ya singida nimeamua niuze nipate pesa kwa ajili ya issue zingine, but nina nyumba hapa hpa dsm wakuu wala msiwaze, halafu mkumbuke tu kwa wale wa umri wa bongofleva i aint your age pals, nilianza kupigana na life long tu
 
daah...
 
Wewe itakuwa tapeli tu haiwezekani upige picha kwa mbali halafu useme inauzwa utakuwa ulipiga nyumba ya mtu weww
 
Aliekudanganya kwamba wewe kwenye Picha unavutia kakudanganya,
Watu walitaka kuona picha ya Nyumba wewe umeweka ya kwako ili iweje??
Au nawe umo kwenye hiyo 48mil mnauzwa pamoja na Nyumba??
Kaka jambazi said huyo
 
wp_20160511_033-jpg.419089
...fake ids zinaficha mengi dadeki!....alivyo mporipori na sura nzito .....
..ngoja nikaushe tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom