mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,743
- 6,273
Nyumba inauzwa inavyumba sita ipo mtoni mtongani mtaa wa msikiti mweupe M 58
Mi nauza dushe langu.
Nyumba inauzwa inavyumba sita ipo mtoni mtongani mtaa wa msikiti mweupe M 58

Nyumba inauzwa inavyumba sita ipo mtoni mtongani mtaa wa msikiti mweupe M 58
hahahahaha yaani kimtazamo ni mbaya lakini hapa tz wengi hatunaHii ni nyumba?
hahaha acheni masikhara atiiHapana ni Zizi
we nae huoni amesema 58 mHiyo nyumba M28????? Huo ni utaniii...
Milioni 58!Hiyo nyumba M28????? Huo ni utaniii...
Bora uikose kuliko kuinunua hiyo kwa 58Mhahahahaha yaani kimtazamo ni mbaya lakini hapa tz wengi hatuna
Mbuzi hajawahi mwacha babu salama. Happy new yearMilioni 58!
mh misikiti ipo kila mahali na tunaishi ............tatizo nini kwa upande wako?Nyumba ipo msikitini hapo hapakaliki
hahahaha we ungenunua kwa bei ngapi?Bora uikose kuliko kuinunua hiyo kwa 58M
Same there. Mwaka jana umenitenga weweMbuzi hajawahi mwacha babu salama. Happy new year
mimi nataka kumnunua huyo kuku hapo taja bei