House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Maramba Mawili

House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Maramba Mawili

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
263
Reaction score
337
INASIFA ZIFUATAZO;
Room 3 moja Master, sitting Room, Kitchen,Daining room, Store, public toilet, na jiko, Baraza mbele na nyuma.

Ukubwa wa eneo lake ni sqm 380 tu.

Maji Dawasa tayari tumevuta yapo Umeme ni kushusha nguzo ipo uwanjani
Nyumba ipo mbezi Maramba mchikichini. Kutoka Zinapoishia Bajaji zinazotoka Mbezi mpaka nyumba ilipo dakika 10.kutembea kwa miguu *BEI #MLN 32 MAONGEZI KIDOGO YAPO
Nyumba ina Nyaraka za Mkataba wa mauziano (Sales Agreements)

0675 065906

HII NYUMBA INAUZWA MBEZI MARAMBA MAWILI

Imekaa vizuri japo sipendi kukaa sehemu Kuna vipaza sauti vya hao jamaa muda wote wanapiga kelele tu.

Tuachane na hayo Kuna hicho kibao kimekaa kama Cha wasabato kimesimikwa kwenye uwanja wa nyumba au nyumba imemega barabara?
 
Nyumba inapaka na barabara ya mtaa ndo maana umeona hicho kibao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom