Nyumba inauzwa Kimara Mwisho

bintishomvi

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
1,164
833
Nauza nyumba ipo Kimara mwisho nyumba imeishia linta bei 29,000,000 ina vyumba 3 kimojawapo ni master ina sebure kubwa sehemu ya chakura ,jiko ,vyoo 2 vya ndani na stoo.

Eneo lina ukubwa wa meta mraba 900 eneo limepimwa bado kukabidhiwa hati miliki gari mpaka mlangoni .

Kwa mawasiliano 0753574002? 0714819371.
 
ATTACH]
 

Attachments

  • 1450805673601.jpg
    1450805673601.jpg
    88 KB · Views: 718
Usihofu wakati magufuri anafanya yake kwenye mtando wake nasi wengine tunaendelea kufanya yetu ahiusiani na magufuri .
 
Bei itapungua njoo uione mwenyewe utojuta majirani wamejenga vizuri gari mpaka mlangoni ,sehemu ya kupaki ata gari kumi au kujenga Nyumba nyingine eneo lipo,tena lupo tambalale wadau msihofu siyo ya magufuri no Mali yangu kihalali.
 
Panda panda kidogo mkuu kama unania alafu njoo uione utojuta sehemu yenye ni mzuri
 
Hapa ni kutuma Kwanza Intelligensia waichunguze ndo unanunua

Chunguza ata wewe mwenyewe njoo kama unaitaji kumbe sio mwiitaji uliza majilani nenda manispaa chumguza jina kwenye usajili alafu chunguza kama Mimi nilishawaikuajiliwa kokote au kashfa yoyote.Nyumba ni yangu sidaiwi na yoyote ila nauza kwa shida zangu binafsi naomba muamini hivyo jpm anawaadhibu watendaji wake nasi wananchi tunaendelea na yetu sio kila kitu jpm usiwatie hofu wanaoitaji.
 
Na kwakuongezea utambulisho wote ninao kuwa Mimi ni muhusika mkuu.kwa anaeitaji kiwanja kimepimwa na kusajiliwa kwa jina langu .mkubwa atishiwi nyau!
 
Nauza nyumba ipo Kimara mwisho nyumba imeishia linta bei 29,000,000 ina vyumba 3 kimojawapo ni master ina sebure kubwa sehemu ya chakura ,jiko ,vyoo 2 vya ndani na stoo.

Eneo lina ukubwa wa meta mraba 900 eneo limepimwa bado kukabidhiwa hati miliki gari mpaka mlangoni .

Kwa mawasiliano 0753574002? 0714819371.
0718202286
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom