Nyumba inauzwa Kimara Mwisho

Nyumba inauzwa Kimara Mwisho

Kiwanja mil 5 ujenzi mil 10 .faida mil 2.5 haya chukua mil 17.4

Kama ulijua bei niliyo nunulia nimekinunua kwa bei hiyo mwaka 2009 na kalatasi ya mauziano inasema hivyo ,ukumbuke dhamani ya pesa na ujenzi na viwanja vipo juu sasa kwa maeneo ya kimara .ongezaongeza kidogo tufanye biashara na uje uhakiki eneo nakuakikishia utojuta
 
Wadau msiogope bado iko sokoni njoo uione bei inapungua kidogo!
 
Habari wadau badomnahesabiwa? amjarudi! Mjengo bado upo
 
Bei itapungua njoo uione mwenyewe utojuta majirani wamejenga vizuri gari mpaka mlangoni ,sehemu ya kupaki ata gari kumi au kujenga Nyumba nyingine eneo lipo,tena lupo tambalale wadau msihofu siyo ya magufuri no Mali yangu kihalali.
Ndio unatafuta ule mtaji wa biashara ya dhahabu?
 
Ndio unatafuta ule mtaji wa biashara ya dhahabu?
Hapana nataka kufungua biashara nyingine kabisa aiusiani na hiyo ila uwaga napenda kutafiti biashara nyingi ilimladi nipate kujua zaidi ya biashara yangu.vipi unaitaji mjengo nikuachie?
 
Hapana nataka kufungua biashara nyingine kabisa aiusiani na hiyo ila uwaga napenda kutafiti biashara nyingi ilimladi nipate kujua zaidi ya biashara yangu.vipi unaitaji mjengo nikuachie?
Bei hiyo kubwa sana.
 
Bei hiyo kubwa sana.
Kutokana na dhamani ya eneo. Fanya kama unaulizia bei za Nyumba za kimara na maeneo zilipo ili ujilizishe alafu njoo tuongee biashara nitakupunguzia usihofu uje kuangalia ene utojuta nakuhakikishia.
 
Si uende sasa, unasubiri nini? Eneo lenyewe hilo nasikia wanataka kuja kubomoa
 
Habari za kusikia mbaya sana kuliko kuhakikisha na kudhibitisha.
 
Si uende sasa, unasubiri nini? Eneo lenyewe hilo nasikia wanataka kuja kubomoa
Unasikia wanataka kubomoa? Nakudhibitishia ili usisikie tena pamepimwa na beacon zimewekwa nasubiri cheti tu! Na eneo sio hatarishi na si mtoni ni sehemu salaama nauza kwa shida zangu binafsi na si vinginevyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom