Dhihaka kwenye Biashara za watu hasa hapa JF ni kitu cha kawaida.
Mleta Uzi kuwa na uvumilivu.
Mimi hatahivyo ninalo pendekezo:
Hujasema ukubwa wa Plot. yenye Mjengo huu.
Lakini Iwapo inafika sqm.2500 au zaidi,
Pili, Kwenye Bei Muelezee Mmiliki Soko limevurugika aachane na Habari ya Mabilioni.
Akiweza kuifikiria Ofa ya Tshs.500-600 MILIONI au jirani na hapo tafadhali unifahamishe nimletee Mteja makini.
(Muhimu:Ukubwa wa Plot ufikie sqm.2500)
Au tena kama unaweza kupata Nyumba INAYOUZWA yenye sio chini ya vyumba 4 vya kulala, Plot sqm.2500 au zaidi.
Maeneo Bahari Beach na Mbezi Beach tu.
Tuwasiliane,
Call/WhatsApp:
+255 714 59 15 48/
dalalitz@yahoo.com.
Nawasilisha.