dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #41
OkSeems like it’s overpriced to me..
OkSeems like it’s overpriced to me..
Mkuu ninayo moja hivi iko mbezi beach maeneo ya Jangwani beach
Size plot 3500 sqm
Ndani kuna nyumba 3 moja ya ghrofa na nyingine za kawaida
Ila nyumba ni za mda kidogo zinahitaji matengenezo
Bei 420m
Ni pazuri Sana
Kweli eee?Hiyo hela unanunia kiwanja Mbezi Beach, unajenga nyumba ya maana, Unanunua VX V8 Mpyaaa na hela inabakia
Karibu mkuu pako vzrVp kipindi cha mvua hakuna mafuriko?.....ila mgefanya nusu ya bei yako...ingekuwa nafuu.
Hahaa umetisha mkuuKipigo cha yanga kimenivurugha nilivyoona haraka haraka nikadhani $45000 kidogo nishobokee dundo ingawa hata nayo sina [emoji16]
Kila la heri mkuu ila kwa usawa huu wa msosi tu mtu unapiga counter attack mornie to night labda kina Mo ndo wanaweza
Hapo unakuta dream house yako ni ya milioni 50. Sasa hiyo ishazidi milioni 999.Jamani mnaotaka kujua n Tsh ngapi
kitu kinauzwa 1,036,125,004 Tsh
ki ukweli siwezi hata kusoma hiyo hela sijui namba
Niacheni kwanza
Ni kweli mkuu ni 1200 sqmKwa macho tu ni zaidi ya sqm 1200.....
Hahaha hapana mkuuUsawa huu kwa bei Hiyo mkuu si tukija kununua tunajichongea kwa Mkulu?
Sasahivi tutakuwa wahuju uchumi.
Ngoja tuzichimbie kwanza $$ zetu tusome upepo kwanza.