Nyumba inauzwa Kawe Beach

Nyumba inauzwa Kawe Beach

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
3,203
Reaction score
2,227
Nyumba ni ya tatu kutoka beach ina vyumba 4 self
Ukubwa wa plot 1200sqm

Bei 450,000/= USD

Maongezi zaidi check ni kwa :-

0756060183
IMG_20191029_130403.jpeg
IMG_20191029_130400.jpeg
IMG_20191029_131055.jpeg
IMG_20191029_130546.jpeg
IMG_20191029_130454.jpeg
IMG_20191029_130528.jpeg
 
Kwa bei hiyo naweza nunua nyumba nzuri sana USA au UK ambapo ntakuwa naingiza zaidi ya $3,000 kwa mwezi na uwezekano wa bei ya nyumba kupanda kila mwaka
Vizuri sana mkuu ila hata hii huwa tunapangisha 3,000/= usd kwa mwezi na sio hii tu bali huu mtaa wote nyumba za dizain hii tunapangisha Kwa bei hiyo.kwahyo karibu tu ununue usiumize kichwa chako kwenda kuwekeza ulaya
IMG_20191029_131236.jpeg
 
Jamani mnaotaka kujua n Tsh ngapi

kitu kinauzwa 1,036,125,004 Tsh

ki ukweli siwezi hata kusoma hiyo hela sijui namba

Niacheni kwanza
Ndio maana ya maisha mkuu.usiumize Sana kichwa kila jambo lina wakati wake
 
Kwa bei hiyo naweza nunua nyumba nzuri sana USA au UK ambapo ntakuwa naingiza zaidi ya $3,000 kwa mwezi na uwezekano wa bei ya nyumba kupanda kila mwaka
Tena sehemu ya maana yenye shule nzuri kwa watoto, zimamoto, ukusanywaji wa taka, maji hayakatiki, umeme upo bila mgogoro, delivery ya Amazon mpaka mlangoni, na mazagazaga kibao mengine.

Najiuliza, inakuwaje nyumba Dar iwe na bei hii wakati mengi kama si yote hayo ni mgogoro?


Kimsingi kama hakuna demand bei itashuka tu, na kama demand ipo, hayo yote ya juu si muhimu bei inaweza hata kupanda zaidi.

In classic economics, Price is where demand meets supply, not based on the real value of things.
 
Hiyo nyumba iko valued at more than double the price, $450K acha ntanunua nyumba nje tu. Kama anauza kiwanja sawa, maana nishasema sipendi nyumba design hizo, kama mimi nikisema ninunue hiyo itabidi nibomoe yote nianze kujenga upya. Sipendi vitu old fashioned, vigae sijui watanzania mnavipendea nini, mabati hayo utadhani ya kiarabu sijui mnayapendea nini, nyumba inatakiwa kua na paa flat, hardwood au marble sio vigae, big open windows kuleta natural light ndani sio madirisha ka mtu yupo jela ukikaa ndani mchana unaona giza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom