Nyumba Inauzwa Goba Dar es Salaam

Nyumba Inauzwa Goba Dar es Salaam

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
508
Reaction score
401
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.

Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli.
*Ina vyumba vitatu vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule, jiko na choo cha ndani.
*Ina nafasi iliyobaki nje.
*Ina umeme na maji.

Ukubwa wa Eneo: SQM 500.
Bei: Milioni 85.
Nyaraka: Hati ya mauziano ya serikali ya mtaa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345
@prathlimited

1739507881258.png
 
View attachment 3291520
Ungeweka na picha za muonekano wa ndani ili mtu akinunua ajue ni finishing gani zitahitajika hadi nyumba ikamilike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom