Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,286
NYUMBA IMESHANUNULIWA
SAMAHANI WOTE WALIOIPENDA
Nyumba Plot 28 Block M (MN 136) ina Vyumba vi3 vya kulala,, sebule, jiko, bafu na choo vikiwa ndani ina maji
Nyumba hii inapatikana Chaduru (Medelii Mashariki) Manispaa ya Dodoma ni maeneo kulikojengwa nyumba za ghorafa za NHC
pia ni jirani na Maghorofa ya Wizara ya Fedha, maghorofa ya HAZINA na TANZANIA AUDIT
sehemu hiyo ni kwa ajili ya kujenga Maghorofa na nyumba ilijengwa 2005
Hivyo kutokana na Sheria ya Mpango Mji ya CDA unaruhusiwa kujenga ghorofa
mwenye nyumba hana uwezo huo anaiuza milioni 18 (18,000,000/=) Mazungumzo yapo
kwa mawasiliano ni PM nikupe No za simu za Muhusika