Nyumba inapangishwa ipo kinondoni b

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Nyumba ina vyumba 4 na 2 uwani gari haingii mpaka ndani inaishia jirani inafaa kwa matumizi ya familia moja au mbili
kodi ni 280,000 kwa mwezi. haipo mbali na barabara . kwa muhitaji makini nipigie 0686 200 117, 0755 099 291, 0657 14 5555. Thomas
 
mkuu weka picha ya hiyo nyumba basi!pia kinondoni kubwa kaka,hata kibamba ni kinondoni,kinondoni ipi?pia huko uwani kunaweza kupangishwa peke yake,yaanh nataka nipange hizo rm 2 za uwani.pia maji umeme yapo?
 
Back
Top Bottom