*NYUMBA INAPANGISHWA SINZA* Nyumba inapangishwa sinza karibu na barabara. Ina vyumba vitatu kimoja master full tiles vyoo vya nje. Vyote unatumia mwenyewe. Maji yapo na umeme unatumia mwenyewe pia kuna eneo kubwa kwa nje kwa ajili ya kuapark magari. Bei 350,000/= na hakuna dalali. Nipigie mwenyewe. 0713401812
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app