Nyumba inapangishwa ipo Kimara Korogwe

Nyumba inapangishwa ipo Kimara Korogwe

Igunga Moja

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
182
Reaction score
23
Ina vyumba vitatu vya kulala.jiko sebule na choo ndani.ipo kimara korogwe karibu na barabara.kodi laki mbili kwa mwezi.mawasiliano.0716 160639!
 
Iko upande upi wa barabara kama unatokea Ubungo? Ina fensi?
 
Kama unatoka mbezi ipo mkono wa kulia.haina fensi ina mazingira mazuri.
 
Pia kuna chumba na sebule self.kodi laki na nusu.pia ipo maeneo ya korogwe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom