Nyumba Inapangishwa Arusha Maeneo ya NaneNane Njiro. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba Inapangishwa Arusha Maeneo ya NaneNane Njiro.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Don Mangi, Jan 31, 2012.

 1. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nyumba yenyewe ina Sitting room, masterbedroom,study room,bedroom,kitchen. Car parking. Enclosed wall and gate.
  Nahitaji laki nne tu! (450,000) na mkataba ni kuanzia mwaka mmoja tu (1). No brockers please. Kwa kiswahili sitahitaji dalali. Kama uko interested, ni pm.
  Nahitaji majibu haraka sana.
   
 2. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Ni 400,000 ama 450,000?
   
 3. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Laki nne 400,000/= sorry there was a mistake kwenye tangazo. but laki nne 400,000/= na mkataba uwe ni kuanzia mwaka mmoja.
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  usikute unatangazia nyumba za kaliuwa,ipo wapi?
  maana nyie watoto mkisharithi mna haraka sana.
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Ipo ndani ya uwanja au nje manake hizi za ndani huwa na usumbufu sana kipindi cha sherehe hiyo ya 88
   
 6. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Geti la huku mwisho nje ya uwanja, imepakana nao.
   
 7. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Shika adabu yako>>>kama unataka nyumba sema ya urithi yametoka wapi wewe?
   
Loading...