Nyumba inapangishwa 150,000

Nyumba inapangishwa 150,000

[QUOTkuna undi umeme, post: 21718819, member: 370934"]Naomba Picha za iyo nyumba 0753505115[/QUOTE]
Mkuu kuna watu wawili wanaenda kuiangalia Leo. Wasiporidhika ntakutumia jioni baada ya kupata jibu.Vumilia hadi jioni; mmoja ni wa humu jf; mwingine anapelekwa na dalali
 
[QUOTkuna undi umeme, post: 21718819, member: 370934"]Naomba Picha za iyo nyumba 0753505115
Mkuu kuna watu wawili wanaenda kuiangalia Leo. Wasiporidhika ntakutumia jioni baada ya kupata jibu.Vumilia hadi jioni; mmoja ni wa humu jf; mwingine anapelekwa na dalali[/QUOTE]
Jioni ndio hii tunasubili picha,picha tumezubili kwa week mbili sasa
 
Nile TE="Jephta2003, post: 21725389, member: 9558"]Mkuu kuna watu wawili wanaenda kuiangalia Leo. Wasiporidhika ntakutumia jioni baada ya kupata jibu.Vumilia hadi jioni; mmoja ni wa humu jf; mwingine anapelekwa na dalali[/QUOTE]
Jioni ndio hii tunasubili picha,picha tumezubili kwa week mbili sasa[/QUOTE]
Nipe namba yako pm nikutumie. Yeye tayari nimeshamtumia. Na kuna mwingine ameenda kuiona kabisa; ameniambia nimpe siku mbili. Kuiona ni vizuri zaidi maana hapa sina picha za kutosha na sipo dar.
 
20170625_170608.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom