golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
- Thread starter
- #21
Mkuu karibu uje uione nyumbaAseehh iyo nyumba inafaa sana kwa loners kama sisi,..
Mkuu karibu uje uione nyumbaAseehh iyo nyumba inafaa sana kwa loners kama sisi,..
Mkuu ni ndogo au kubwa. Unajua sijawahi kupangisha nyumba na hii nimeijenga kwa ajili hiyo hata hivyo hali ni ngumu, kidogo gawana na mwenzio. Aliyetayari anakaribishwa kuja kuiona. Ila kumbuka tayari jana nimewakabidhi madalali, sasa sijui mpaka wiki hii iishe itakuwa bado ipo....mbona kama unatafuta mlinzi wa kukulindia tu sheikh!
...150,000??
Kimyanipm namba
Picha nayo kimyaaaaaaaaaKimya
Njoo uione, ndio utaamua. Ni kweli umeme haina, bado nahangaika na watu wa umeme, ukuta una msingi bado. Ila maji jirani yetu anayo. Karibu ujionee kitu kipyakodi yote hiyo kumbe ukuta hakuna, umeme hakuna, iko mpigi, maji haina. doooooo
Nipm namba nikutumie whatsappPicha nayo kimyaaaaaaaaa
Sijabahatisha, ipo sehemu salama. Njoo ujionee.>>> mbona hiii yenye sifa zako nasikia imebomolewa >>
Biashara ni kazi ngumu sana kama huijui. Yaani nije kuona vague imagination?Mpaka ijumaa kazi zitakuwa zimeisha,unakaribishwa kuja kuiangalia
Mkuu nimekuelewa. Nitalifanyia kazi. Ila je kwa hali ilivyo hiyo bei nikubwa au ndogo maana kuna mdau kanikatisha tamaaBiashara ni kazi ngumu sana kama huijui. Yaani nije kuona vague imagination?
Mtu akiona picha, hata kama haijamalizika tayari anao uwezo wa kujenga picha akilini mwake kuwa itakapomalizika itafanana vipi. Mtu pekee anayeweza kuja kuiona kwa maneno tu ya kuambiwa na wewe ni HAMNAZO
Bei ni nzuri, labda umbali umpe mtu shida. Lakini all in all, kila sehemu ina wakazi wake. SI kila mtu anaamka kwenda mjini daily, hiyo nyumba akiifumania mfanyabiashara au dereva wa masafa kwa hakika atafurahia utulivu.Mkuu nimekuelewa. Nitalifanyia kazi. Ila je kwa hali ilivyo hiyo bei nikubwa au ndogo maana kuna mdau kanikatisha tamaa
Mkuu usiogope, kama unahitaji kuiona, wewe nipm namba yako, kesho ukaioneToa maelezo ya wazi.kujitambulisha sana huku jf kunaweza kukapeleka watu kwenye kale kamsitu.!
Nimekupata vyema. Kuna dalali nimempa hii kazi, nadhani kesho atanirudishia majibu,maana nasikia jana alienda na mteja, mimi sikuweza kufikaBei ni nzuri, labda umbali umpe mtu shida. Lakini all in all, kila sehemu ina wakazi wake. SI kila mtu anaamka kwenda mjini daily, hiyo nyumba akiifumania mfanyabiashara au dereva wa masafa kwa hakika atafurahia utulivu.
Naomba Picha za iyo nyumbaNashindwa kuweka picha.Nipm namba nikutumie whatsapp