Nyumba inapangishwa, 120,000

Nyumba nzuri......hata hiyo rent ni hasara tu
 
Huo mchezo unaoufanya hutopata mtu,nikupe kodi yangu ya mwaka ukarabati nyumba yako baada ya miaka 2 nyumba imeshaisha unipandishie kodi!!...
 
Good
 
Wakuu umeme bado, ila bado natafuta mpangaji, mazungumzo yapo
 
MKUU BADO HUJAPATA MTEJA kweli vyuma vimebana.. fanya 90,000 itapendeza/haitadhuru..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…