Nyumba inahitajika!

Kilambi

Member
Apr 3, 2009
94
18
Wandugu natafuta nyumba maeneo ya Mikocheni/Msasani au Kawe..iwe na eneo kubwa la nje, nyumba ikiwa ndogo mathalani vyumba vitatu inatosha! isiwe ghorofa na sio ya kushea(samahani kwa kiswahili hiki) pia iwe ndani ya fensi(uzio)
iwe mahali panapofikika kirahisi kutoka barabara kuu.tafadhali ni pm kwa maelezo au maulizo zaidi!
natanguliza shukrani
 
Mkuu, hii nyumba unaihitaji kwa ajili ya kufanya ofisi au kukaa mwenyewe (na familia n.k)?
Kama ni ya kufanya ofisi ..naomba unijulishe!! Shukrani.
 
Mkuu, hii nyumba unaihitaji kwa ajili ya kufanya ofisi au kukaa mwenyewe (na familia n.k)?
Kama ni ya kufanya ofisi ..naomba unijulishe!! Shukrani.
ahsante kiongozi...ni kwa ajili ya ofisi
 
Kama ni ofisi, nami nimepata juzi tu ofisi nilioneshwa na broker mmoja hadi nikachanganyikiwa nichukue ipi, nahisi mikocheni utapata, make nimeoneshwa j4. mpigie huyu bwana ) 0754 858 245
 
Kama ni ofisi, nami nimepata juzi tu ofisi nilioneshwa na broker mmoja hadi nikachanganyikiwa nichukue ipi, nahisi mikocheni utapata, make nimeoneshwa j4. mpigie huyu bwana ) 0754 858 245
nakushukuru mkuu, nimempata na tutonana next week
once again thanks kwa ushupavu
 
Wakubwa heshima mbele:

Jamani inawezekana nikapata nyumba Mikocheni ya ku-rent...yenye yafuatayo?

1. Iwe na room mbili au tatu za kulala, sitting room, kitchen, garden hata kama ni ndogo (need not iwe ya kijani-I can make one myself-for Iam a good gardener) na mazagazaga mengine. Kifupi nyumba iwe na space ya kutosha..ndani na nje...

2. Iwe na water/electricity system ya kueleweka.

3. Iwe na geti safi (isiwe uswahilini)

3. Iwe karibu na barabara..I mean iwe rahisi kufika hata mvua ikinyesha (wazee si mnaijua hii bongo yetu ilivyo mvua ikinyesha?)

5. Kama itakuwa na tiles ndani, imeezekwa kwa vigae, vifaa vingine ambavyo havijachoka kama masink, vyoo nk..itakuwa safi zaidi.

6. Sihitaji iliyo furnished. Na mwenye nyumba nataka asiwe mtu mswahili au mjanja mjanja.....nitafanya direct transmission kwenye account yake kila mwezi......

7. BAJETI YANGU NIMEJIWEKEA NI 400,000-500,000 KWA MWEZI. Tunaweza kuzungumza.

8. Sihitaji dalali. walishawahi kuniliza..so I dont trust them. Professional brokers..wanakubalika..ila sio wale wa mjini na ofisi za briefcase..! Ndo maana nimekuja hapa JF nikijua kwamba kuna waungwana wanaweza kunipa ideas.

9. Nyumba inahitajika kuanzia September mwaka huu.

Tafadhali naombeni ideas zenu wakuu!

Shukrani!

NB: specifically nimeomba ideas kuhusu MIKOCHENI. Kama hujui naomba usianze kunipa mawazo sijui ya Mwenge, Buguruni el...Maana huko nimeacha kuulizia nikiwa najua nyumba zipo na zinaweza kuwa cheap vile vile. Lets deal with Mikocheni au kama vipi Mbezi Beach wont be a bad idea..though sikupendi kabisa kule...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom