Wakitumia sheria mnapiga kelelewakitumia hiyo busarapia mtapiga keleleYawezekana watawala wetu wamefuata sheria, lakini hawakutumia busara na hekima. Nawatakia kila la kheri katika kazi yao nzuri ya kuwabomolea nyumba wananchi wao, nayo yaweza kuwa ni ubunifu.
In fact kwa dar idadi hiyo ya nyumba inaweza kuwa sawa na kaya zaidi ya elfu 20 (kila nyumba kaya au familia zaidi ya 4) na watu zaidi ya elfu 70 (kila kaya ina zaidi ya wanafamilia wa4).Kwakweli watu wengi wataathirika jamani....sio mchezo
Haitii huruma kwani ni shida yao wenyewe kwa sababu hawa wote walishapewa notice ya kuhama miaka kibao iliyopita na hela wakalipwa lakini hawakuhama kutokana na srikali ya kipindi kile kuwa bize na massage na safari za hajabu nje ya nchi.
ukitafakari kwa busara hapa, utaona hao waliokua na jukumu la kusimamia mipango miji walikua hawafanyi kazi yao au walihongwa, nyumba 5,600 kubomolewa is not good for anyone,kwa serikali inaonekana inanyanyasa na kwa wananchi ni hasara kubwa sana, hadi nyumba nyingi kiasi hiki zijengwe walikua wapi?
Nyumba 5,600 Dar es Salaam zipo katika mpango wa kubomolewa katika mpango wa bomoabomoa unaoendelea sasa hivi.
Mpaka sasa nyumba zilizokwisha bomolewa ni nyumba 200 ambayo ni sawa na 3% ya lengo.
ok, walipewa notis miaka 3 iliyopita, hivi kabla ya kuja wakatoa siku 3 watakua wameokoa mali nyingi kiasi gani na wao watakua wamepata hasara kiasi gani kwa kuwakumbusha? jibu ni kua hasara ya kuwakumbusha na hasara ya kubomoa ghafla hasara ya kubomoa ghafla ndio kubwa
nyumba 5,600 dar es salaam zipo katika mpango wa kubomolewa katika mpango wa bomoabomoa unaoendelea sasa hivi.
Mpaka sasa nyumba zilizokwisha bomolewa ni nyumba 200 ambayo ni sawa na 3% ya lengo.
mkajifanya mnapenda chadema nyinyi, its pay back now. Vunjaaa zote tusipolizika mtachapwa viboko woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hapa ccm tu baaaassss pumbavu
Kwahiyo unatenda kosa,ukiona huzuiwi unaendelea?
Hivi Na Zile Office Za DARTS Pale Jangwani Jirani Na Kajima, Magodauni Yaliopo Bonde La Msimbazi Tokea SUKITA Ya CCM Hadi Mandera Road Na Matumbi Na Buguruni Ally Hamza!! Yatuvunjwa Au Watayaacha Tu!? Huku Wakibomoa Vibanda Vya Makabwela Tu!!!!!?? Mi Nasubiria Kuona Hilo, Hapo Ndio Nitawapongeza NEMC, JIJI Na Wakurugenzi Kwa KAZI Nzuri!! Lkn Wakiyaruka Hayo Magodauni, Magereji, Mayadi Na Maofisi!!! Sitaweza Kuikubali Hiyo Operesheni Yao!!! Nasubiria Kuona!!!