MASHUKE – AGOST 23 – SEPT 22
Siku ya leo usile pilipili kwani utashikwa na tumbo la kuhara hivyo kama
Unataka kula pilipili hakikisha unaweka feni chooni ili ikupepee makalioni
Kutokana na fukuto kali litakalosababishwa na pilipili na kama huna fena andaa
Barafu ambayo utaikalia mara baada ya kujisaidia.
SIMBA - JULY 23 – AGOST 22
Usisikilize sana maoni kutoka Jamii Forum, unatakiwa kuichunguza simu
Ya mkeo mara kwa mara kwani majina ya wapenzi wake kasevu ya kike
Ukiona mama fulani…. Usiamini mia kwa mia. Pendelea kuamka usiku wa
Mananenenda chooni na simu ya mkeo kisha ujifungie na uchunguze meseji
Zote kwa utulivu.
Mkuu hii imekaaje mbona hata sijaolewa,alafu jf ndio furaha yangu hapa boss katoka na kazi zake nimeminimaizi niko jf,nigeonaje hii sred yako?
Kapige ramli upya kwa upande wangu umekosea lol!
makubwa mamamdogomshale – nov 22 dec – 21
leo ni siku nzuri kwako kwani yule dada anayekuchukulia mumeo kapata
uhamisho. Huo utakuwa mwanzo nzuri wa ratiba ya mumeo kubadilika
kwani sasa atakuwa anashinda zaidi nyumbani mara atokapo ofisini.
hilo nalo ni neno mkuu.
MSHALE – NOV 22 DEC – 21
Leo ni siku nzuri kwako kwani yule dada anayekuchukulia mumeo kapata
Uhamisho. Huo utakuwa mwanzo nzuri wa ratiba ya mumeo kubadilika
Kwani sasa atakuwa anashinda zaidi nyumbani mara atokapo ofisini.
hilo nalo ni neno mkuu.
Hii balaaa sasa!!!SAMAKI – FEB 19 – MARC – 20
Tabia ya mke wa bosi wako kukukonyeza itaendelea. Kama unamtaka mchukue tu
Hautafukuzwa kazi kwani bosi wako atakufa siku si nyingi kutokana na kuzembea
Utumiaji wa dawa za ARV na kuendekeza gongo. Mchukue kwani hata yeye atakufa
Siku si nyingi na wewe utakuwa mrithi wa mali zake. Kwa wanawake Nyota zinaonyesha
Kuwa watapata bahati kubwa sana kama watavaa nguo za chama chochote cha siasa.
NDOO – JAN 20 – FEB – FEB 18
Anza mkakati wa kutafuta mpenzi mwingine kwani huyo uliye naye anakuongopea
Na kukupotezea muda. Pole sana.
Haaaa haaa haaaaa lol!nasubiri ya kesho.Nyota imemzungumzia mwanaume tu kwa mwanamke leo kuna
ukungu mambo yao yatakuwa kama siku iliyopita hakuna mabadiliko!
ngoja nijaribumapacha – mei 22 – june 20
leo ni siku ya bahati kwako. Hivyo bahati nasibu yoyote utakayocheza
utashinda. Hongera.
unalo mkubwahii balaaa sasa!!!
MBUZI- DEC 22 - Jan 19
Tatizo lako la kuwashwa sehemu za siri linatokana na tabia yako ya uvivu
Wa kufua nguo za ndani. Ili kuepuka tatizo hilo unaweza kuamua kuachana
Kabisa na uvaaji wa chupi. Kuhusu mapenzi bado mambo yataenda vizuri
Kwani mpenzi wako amekufa ameoza licha ya harufu mbaya inayotolewa
Na nguo zako za ndani.
makubwa mamamdogo