NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 23/2025:

NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 23/2025:

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,144
Reaction score
3,459
NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 23/2025:

UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.

MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.

★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)

Usijishughulishe na mambo ambayo watu wanayasema kwa sababu shida na matatizo waliyonayo hivi sasa ni kujitakiya wenyewe Kama walivyojitumbukiza katika dhiki ni juu yao kujisaidia jambo la muhimu kwako ni kuwa muangalifu.

•Utapata bahati nzuri na habari nzuri nyingi zitakufikia leo.

★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)

Leo inaonekana Kuna mambo muhimu ya kwako na ya watu wengi ambayo unataka kuyafanya na yanahitaji pesa ambazo huna Hutaweza kuyatatua matatizo yako peke yako unahitaji msaada wa watu wengine.

•Mahusiano yako yatajaa neema na utulivu pia kuna kitu kizuri mno kitakutokea ndani yake.

★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)

Leo fanya kila njia usiwe mpweke Kaa karibu na jamaa zako wape mawazo yako na waombe wakupe ushauri kutokana na changamoto zinazokukabili.

•Safari zako ni nzuri tegemea kheri ndani yake.

★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)

Leo shirikiana na mtu yoyote kwa sababu unaweza kupata maarifa ya kufanikisha shughuli zako muhimu ulizonazo kwa sasa hata hivyo kuwa macho wadanganyifu ni wengi na hawalali wakifikiri namna ya kukudhuru.

•Utapata maudhi makubwa leo na siku yako itakuwa nzito pia haja zako leo itakuwa ngumu kutimia.

★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)

Inaonekana utajihisi kuwa na hasira na utakasirika hovyo bila ya kuchokozwa na mtu yoyote nyota zinakushauri jizuie kushiriki katika ubishani wowote.

•Mahusiano yako pia yatakuwa na usaliti wa wazi hivyo usijiamini sana hakuna kheri katika mahusiano mapya leo yatakufa ghafla.

Safari zako leo sio nzuri.

★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)

Leo siyo siku nzuri sana kwako na usiwe au usitoe ahadi zozote hasa mchana huu tumia siku ya leo kufanya mambo yako mwenyewe yale yote ambayo unayaona ni ya muhimu Jitahidi kujenga umoja wako na wa familia yako.

•Kazi zako zitakuwa nzito kwa kila kitu na watu watakuudhi kwenye shughuli zako leo vumilia yanapita.

★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)

Leo kaa na mtu wako wa karibu na mzungumze kwa kina mambo yaliyo moyoni kwako ili ipatikane suluhu Kwa kutumia njia hii utapata majawabu kwa matatizo yanayokukabili.

•Utapata matumaini makubwa na mazuri kwenye mambo yako yote kwa ujumla na utafarijika kwa mengi.

★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)

Leo ni siku njema kwako fikiria kuhusu maisha yako weka pembeni mambo ambayo unayaona hayana maana kwa sababu maisha yako ni muhimu sana kwako kuliko jambo lolote jingine linalokukabili.

•Tegemea kufunguka zaidi biashara zako na kazi zako zitaenda vizuri.

Safari zako ni nzuri.

★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)

Leo utakutana na rafiki ambaye atakuhitajia sana umsaidie katika jambo la faragha Usimnyime anachohitaji kwa sababu ameteseka sana Kumbuka huko nyuma ushawahi kujikuta ukiwa katika hali kama yake.

•Kazi zako zitaenda vizuri na utafaidika kwenye biashara zako leo ishi vizuri na wateja wako kuna faraja kubwa itakupata kazini leo.

★PUNDA– ARIES 🐏(March 21– Aprili 20)

Leo jitahidi kutekeleza ahadi ulizowaahidi watu Jambo hili litakupa shida usipolifanyia kazi kiasi cha kuwapoteza marafiki zako Kama ikiwa ni vigumu kwako kutimiza ahadi basi waambie wasubiri lakini kamwe usighairi.

•Utapata furaha leo na mtu wako wa karibu atakufurahisha na haja zako nyingi zitatimia kwa namna usiyoitarajia.

★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)

Leo inaonekana itakuwa siku ya mikosi kwa sababu mipango yako haitakwenda kama unavyotarajia Siri kubwa ya wewe kuondokana na mikosi hiyo ni kujikalia nyumbani na ikiwezekana kulala mapema na usijihangaishe.

•Mahusiano yako yatakuwa na utulivu na amani itatawala katika nyumba yako.

★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)

Leo una uwezo wa kufikia kileleni kwa jambo lolote unalotaka kulifanya na hutopata pingamizi zozote ni siku nzuri ya kujumuika na watu na kuwasaidia watakaohitaji msaada wako Kumbuka ukifanya wema kwao ni kama unajifanyia mwenyewe.

•Mahusiano yako yatakuwa na vurugu lakini za muda mfupi na amani itarejea.

Safari zako ni nzuri.
 
IJUE NYOTA YAKO ♈
MAELEZO YA NYOTA YA PUNDA
Sehemu ya kwanza

Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️

NYOTA YA PUNDA : (ARIES)♈
Hii ni Nyota ya kwanza katika mlolongo wa Nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 21 Marchi hadi 20 Aprili

Namba yao ya bahati ni 9 .
Asili yao ni Moto .

Sayari yao ni Mars (Mariikh).
Malaika anayetawala nyota hii anaitwa Samael au Israeel, Jini wa siku hii anaitwa Abuu Muhriz al Hammar au Phaleg

Rangi yao ya Bahati ni Nyekundu ,
Rangi zinazowafaa kwenye Nyumba au Vyumba vyao ni rangi nyekundu (Scarlet).

Rangi zinazowapa uwezo wa mapenzi, mahaba na furaha ya kujumuika na watu ni rangi za kijani na kijani kibichi.

Rangi inayowapa uwezo wa kifedha ni rangi ya Kijani

Manukato yao ni Marashi ya Asali (Honeysuckle)

MAMBO MUHIMU:-

Ubora unaohitajika kwa watu wa Nyota hii ili kusawazisha mambo yao ni “kuwa waangalifu”
Maadili yao ni “Utumiaji wa nguvu, Ujasiri, Uaminifu, kuwa huru na kujitegemea
Matakwa yao ni Vitendo
Tabia za kujiepusha nazo: Kutokuwa na subira, kufanya mambo haraka haraka bila kufikiri, kutumia nguvu bila akili na kuharakisha mambo.

USHIRIKIANE NA NANI?

⭐Nyota za watu ambao “Wanaelewana” nao ni nyota za Simba na Mshale

⭐Nyota za watu ambao “Hawaelewani” nao ni nyota za Kaa, Mizani na Mbuzi.

⭐Nyota inayomsaidia “Kikazi” ni nyota ya Mbuzi

⭐Nyota inayomsaidia “Kipesa” ni nyota ya Ng’ombe

⭐Nyota inayomsaidia katika “Ubunifu” ni nyota ya Simba.

⭐Nyota bora ya “Kujifurahisha” ni nyota ya Simba

⭐Nyota ambazo zinamsaidia katika mambo ya “Kidini na kiroho” ni Nyota za Mshale na Samaki.

⭐Nyota Bora ya mapenzi na ndoa ni nyota ya mizani.

Siku yake nzuri katika wiki ni siku ya Jumanne

KIPAJI CHA PUNDA
Wenye nyota hii wana kipaji cha Hisia, ni rahisi kwao kutafsiri jambo lolote, wanaweza kwa urahisi kutafsiri ndoto, vilevile wana kipaji cha kusikia sauti ndani ya kichwa kuhisi jambo litakalotokea na ikawa kweli.

Ikiwa watafanya Taamuli (Meditation) kwa dakika ishirini wakati wa usiku au kitu cha kwanza wanapoamka asubuhi, akili na miili yao itatulia na watapata ufunuo wa mambo mengi sana.

TABIA ZAO KIMAUMBILE NA KIMAPENZI:

Punda ni wakali na wachangamfu, wenye hisia na wanaoweza kujieleza wakiwa na ari ya kufanya chochote. “SASA HIVI” hayo ndio mambo wanayotaka kusikia.
Ni watu wasiokuwa na subira, kila kitu kinafanyika kwa msukumo na haraka haraka. Ni viongozi majasiri ambao hawaoni karaha kuchukua majukumu, wakati wote wanajiona kwamba “Wanajua sana”.
Kimapenzi Punda ni watu wenye mapenzi motomoto, tatizo lao kubwa hawapendi kusikiliza ushauri wa kimapenzi, na hawakubaliani na mambo nusu nusu. Ni watu wenye kutegemea mazuri wakati wote na hawakubali kushindwa. Hupenda kukimbilia katika mapenzi bila kufikiri, wanapohisi wamepata mpenzi wa kweli. Ni wepesi kuvutwa katika mapenzi na wenye miamko ya ghafla au misukumo ya kiwazimu ambayo wakati mwingine inawafanya waonekane wapumbavu.

KAZI NA BIASHARA ZA PUNDA :

Wote wake kwa waume waliozaliwa katika nyota hii wana kipaji cha asili cha uongozi na wasiwasi wa kushindwa katika utekelezaji. Kazi zinazowafaa ni Jeshi, Kazi za Uokoaji, Michezo, Uuzaji, Upasuaji, Kufundisha (Ualimu), Masuala ya Fedha. Biashara za kubadili fedha,Biasharaza kuuza vifaa vya michezo, biashara za vifaa vya shule au maduka ya madawa.

MAVAZI NA MITINDO:
Mavazi yao yanatakiwa yawe ya mitindo mikali na tofauti, yenye kuchangamsha na Kusisimua ya rangi nyekundu.Vitambaa vyao viwe vya sufu (wool), Fulana, na vitambaa vilivyo na kishiwa kwa nyuzi za rangi ya chuma. Wasikose kuvaa kofia, wanawake wapendelee sana kuvaa na Suruali

MAGONJWA YA PUNDA:

Nyota hii inatawala kichwa, Ubongo, Macho, Mifupa ya uso na fuvu la kichwa.

Magonjwa yanayohusiana na nyota hii ni kuumwa na Kichwa, Kuzimia, Homa ya ubongo, Maradhi ya chunusi na magonjwa ya mishipa ya kichwa.

VYAKULA, NCHI, NA MIJI YA PUNDA:

Punda vyakula vyao vikuu ambavyo vitawaletea bahati ni Mananasi,Viungo vya pilipili, Vitunguu na nyama ya mbuzi.
Nchi ambazo wanaweza kupata mafanikio ni England, Germany, Poland na Switzerland na miji yao ni Florence, Marseilles, Liverpool na New Orleans.

MADINI, VITO NA MAFUSHO:

Madini yao ni Chuma, Vito au Mawe ya bahati ni Ruby, Hematite, Aventurine, Bloodstone, Carnelian, Citrine, Diamond, Lapis Lazuli, Mexican Lace Agate na Quartz (Kama inavyoonekana kwenye picha).

Mafusho yao yanaitwa Qist , yako kama vipande vya mizizi na yana rangi ya kahawia. Ili kupata bahati wanatakiwa wachome mafusho haya kila Jumanne asubuhi saa 12 mpaka saa 1 na saa 7 mpaka saa 8 mchana.

Kwa msaada wa tiba ya nyota, maisha, uchumi, mahusiano na magonjwa, wasiliana nasi

By Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ , mtafiti na mkufunzi wa maswala ya kiroho
 
Simba na mapacha kwenye mahusiano inakuwaje maalimu
Shukrani kwa swali lako zuri sana mkuu! Hebu tuangalie mahaba ya nyota ya Simba (Leo) na Mapacha (Gemini) kwenye mahusiano kwa mtazamo wa nyota na kiroho:

🦁 Simba (Leo)

Ni nyota ya moto (fire sign)

Wana tabia za kujiamini, kupenda sifa, ujasiri, na wanapenda kuwa kitovu cha mambo.

Mara nyingi wanapenda mapenzi yenye hadhi, heshima na uthabiti.

🌬️ Mapacha (Gemini)

Ni nyota ya hewa (air sign)

Wana akili nyingi, wachangamfu, wacheshi, na wanapenda maongezi na kubadilisha mambo.

Wana asili ya kubadilika upesi na kupenda mambo mapya.

❤️ Simba + Mapacha kwenye Mahusiano

Mambo yanayowafaa:

Mapacha hufurahishwa na haiba na nguvu ya Simba; wanapenda Simba anavyojiamini.

Simba hufurahia Mapacha kwa ucheshi, mazungumzo na msisimko wao.

Wote wanapenda maisha ya raha, sherehe na starehe za maisha.

Hewa (Mapacha) huchochea Moto (Simba), hivyo mahusiano yao huwa ya msisimko.

Changamoto zinazoweza kujitokeza:

Simba anapenda uthabiti wa upendo na sifa, Mapacha wakati mwingine wanabadilika haraka na kutokuwa na uthabiti, jambo linaloweza kumfanya Simba ajisikie kupuuzwa.

Mapacha wanaweza kuona Simba ni mwenye wivu au mwenye kutaka sana kupewa kipaumbele, huku wao wakipenda uhuru.

Siri ya Mahusiano Yao Kufanikiwa

Simba ajifunze kumpa Mapacha uhuru wa mawazo na marafiki wake.

Mapacha wajifunze kumthamini Simba kwa maneno na matendo, na kumpa sifa na heshima.

Wote wawili wafanye mazungumzo ya wazi; wasikilizane na kutoa nafasi ya kuelewana.

Kiufupi:

Simba na Mapacha wana chemistry kubwa ya mapenzi na msisimko. Kama wataelewana na kuvumiliana tabia zao, wanaweza kuwa na mahusiano yenye furaha, msisimko na ya muda mrefu.

Kama unataka, naweza kukuandikia zaidi kuhusu:

Jinsi ya kuimarisha mahusiano ya nyota hizi

Dua za baraka kwenye mahusiano

Siri za kiroho za kuleta upendo kati ya Simba na Mapacha

Je, unataka? 💖✨

Unaona laha eeeh😂😂😂😂 imeishaaaa😁😁😁🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
 
kuna mshangazi ni mapacha nikawa napima maji itakuwaje uko mbeleni ila mm kama simba nipo kimasirahi zaidi ndo kipaumbele changu
 
IJUE NYOTA YAKO ♈
MAELEZO YA NYOTA YA PUNDA
Sehemu ya kwanza

Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️

NYOTA YA PUNDA : (ARIES)♈
Hii ni Nyota ya kwanza katika mlolongo wa Nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 21 Marchi hadi 20 Aprili

Namba yao ya bahati ni 9 .
Asili yao ni Moto .

Sayari yao ni Mars (Mariikh).
Malaika anayetawala nyota hii anaitwa Samael au Israeel, Jini wa siku hii anaitwa Abuu Muhriz al Hammar au Phaleg

Rangi yao ya Bahati ni Nyekundu ,
Rangi zinazowafaa kwenye Nyumba au Vyumba vyao ni rangi nyekundu (Scarlet).

Rangi zinazowapa uwezo wa mapenzi, mahaba na furaha ya kujumuika na watu ni rangi za kijani na kijani kibichi.

Rangi inayowapa uwezo wa kifedha ni rangi ya Kijani

Manukato yao ni Marashi ya Asali (Honeysuckle)

MAMBO MUHIMU:-

Ubora unaohitajika kwa watu wa Nyota hii ili kusawazisha mambo yao ni “kuwa waangalifu”
Maadili yao ni “Utumiaji wa nguvu, Ujasiri, Uaminifu, kuwa huru na kujitegemea
Matakwa yao ni Vitendo
Tabia za kujiepusha nazo: Kutokuwa na subira, kufanya mambo haraka haraka bila kufikiri, kutumia nguvu bila akili na kuharakisha mambo.

USHIRIKIANE NA NANI?

⭐Nyota za watu ambao “Wanaelewana” nao ni nyota za Simba na Mshale

⭐Nyota za watu ambao “Hawaelewani” nao ni nyota za Kaa, Mizani na Mbuzi.

⭐Nyota inayomsaidia “Kikazi” ni nyota ya Mbuzi

⭐Nyota inayomsaidia “Kipesa” ni nyota ya Ng’ombe

⭐Nyota inayomsaidia katika “Ubunifu” ni nyota ya Simba.

⭐Nyota bora ya “Kujifurahisha” ni nyota ya Simba

⭐Nyota ambazo zinamsaidia katika mambo ya “Kidini na kiroho” ni Nyota za Mshale na Samaki.

⭐Nyota Bora ya mapenzi na ndoa ni nyota ya mizani.

Siku yake nzuri katika wiki ni siku ya Jumanne

KIPAJI CHA PUNDA
Wenye nyota hii wana kipaji cha Hisia, ni rahisi kwao kutafsiri jambo lolote, wanaweza kwa urahisi kutafsiri ndoto, vilevile wana kipaji cha kusikia sauti ndani ya kichwa kuhisi jambo litakalotokea na ikawa kweli.

Ikiwa watafanya Taamuli (Meditation) kwa dakika ishirini wakati wa usiku au kitu cha kwanza wanapoamka asubuhi, akili na miili yao itatulia na watapata ufunuo wa mambo mengi sana.

TABIA ZAO KIMAUMBILE NA KIMAPENZI:

Punda ni wakali na wachangamfu, wenye hisia na wanaoweza kujieleza wakiwa na ari ya kufanya chochote. “SASA HIVI” hayo ndio mambo wanayotaka kusikia.
Ni watu wasiokuwa na subira, kila kitu kinafanyika kwa msukumo na haraka haraka. Ni viongozi majasiri ambao hawaoni karaha kuchukua majukumu, wakati wote wanajiona kwamba “Wanajua sana”.
Kimapenzi Punda ni watu wenye mapenzi motomoto, tatizo lao kubwa hawapendi kusikiliza ushauri wa kimapenzi, na hawakubaliani na mambo nusu nusu. Ni watu wenye kutegemea mazuri wakati wote na hawakubali kushindwa. Hupenda kukimbilia katika mapenzi bila kufikiri, wanapohisi wamepata mpenzi wa kweli. Ni wepesi kuvutwa katika mapenzi na wenye miamko ya ghafla au misukumo ya kiwazimu ambayo wakati mwingine inawafanya waonekane wapumbavu.

KAZI NA BIASHARA ZA PUNDA :

Wote wake kwa waume waliozaliwa katika nyota hii wana kipaji cha asili cha uongozi na wasiwasi wa kushindwa katika utekelezaji. Kazi zinazowafaa ni Jeshi, Kazi za Uokoaji, Michezo, Uuzaji, Upasuaji, Kufundisha (Ualimu), Masuala ya Fedha. Biashara za kubadili fedha,Biasharaza kuuza vifaa vya michezo, biashara za vifaa vya shule au maduka ya madawa.

MAVAZI NA MITINDO:
Mavazi yao yanatakiwa yawe ya mitindo mikali na tofauti, yenye kuchangamsha na Kusisimua ya rangi nyekundu.Vitambaa vyao viwe vya sufu (wool), Fulana, na vitambaa vilivyo na kishiwa kwa nyuzi za rangi ya chuma. Wasikose kuvaa kofia, wanawake wapendelee sana kuvaa na Suruali

MAGONJWA YA PUNDA:

Nyota hii inatawala kichwa, Ubongo, Macho, Mifupa ya uso na fuvu la kichwa.

Magonjwa yanayohusiana na nyota hii ni kuumwa na Kichwa, Kuzimia, Homa ya ubongo, Maradhi ya chunusi na magonjwa ya mishipa ya kichwa.

VYAKULA, NCHI, NA MIJI YA PUNDA:

Punda vyakula vyao vikuu ambavyo vitawaletea bahati ni Mananasi,Viungo vya pilipili, Vitunguu na nyama ya mbuzi.
Nchi ambazo wanaweza kupata mafanikio ni England, Germany, Poland na Switzerland na miji yao ni Florence, Marseilles, Liverpool na New Orleans.

MADINI, VITO NA MAFUSHO:

Madini yao ni Chuma, Vito au Mawe ya bahati ni Ruby, Hematite, Aventurine, Bloodstone, Carnelian, Citrine, Diamond, Lapis Lazuli, Mexican Lace Agate na Quartz (Kama inavyoonekana kwenye picha).

Mafusho yao yanaitwa Qist , yako kama vipande vya mizizi na yana rangi ya kahawia. Ili kupata bahati wanatakiwa wachome mafusho haya kila Jumanne asubuhi saa 12 mpaka saa 1 na saa 7 mpaka saa 8 mchana.

Kwa msaada wa tiba ya nyota, maisha, uchumi, mahusiano na magonjwa, wasiliana nasi

By Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ , mtafiti na mkufunzi wa maswala ya kiroho
NAWEZAJE KUJUA NYOTA YANGU

TAREHE YA KUZALIWA NI 27/01
 
kuna mshangazi ni mapacha nikawa napima maji itakuwaje uko mbeleni ila mm kama simba nipo kimasirahi zaidi ndo kipaumbele changu
🦁 Wewe Simba (Leo) — Kimaslahi

Wewe ni mtu wa maamuzi makubwa, unayeona mbali na unayependa kupata mafanikio, hadhi, na heshima.

Mara nyingi unapoingia kwenye uhusiano, unatafuta kitu cha maana — iwe ni upendo wa kweli, msaada, au maslahi yatakayoinua maisha yako.

Unapenda uthabiti na unataka mtu atakayekupatia heshima na kukupa nafasi ya kuwa “mfalme” wa moyo wake.

Mshangazi Mapacha (Gemini)

Ni mtu mwenye akili ya haraka, anayeweza kubadilika kwa maamuzi na matendo.

Mapacha huchangamka, hupenda starehe, na si rahisi kuwekeza nafsi yake mahali pamoja kwa muda mrefu bila msisimko.

Anaweza kuwa mcheshi, mwenye maneno matamu lakini wakati mwingine haonyeshi uthabiti wa malengo.

Ukichanganya Simba Kimaslahi + Mapacha

Mzuri kwa maslahi ya haraka: Mapacha anaweza kuwa na wazo au fursa ya haraka inayoweza kukusaidia. Wana upeo wa kuona nafasi za mafanikio kwa njia za kipekee.

Hatari kwa mipango ya muda mrefu ya kimaslahi: Mapacha anaweza kubadilika mawazo au msimamo kwa ghafla, jambo ambalo linaweza kufanya mipango ya maslahi yako ikayumba.

Chemistry ya kuvutia: Mapacha atakuvutia kwa akili na maongezi yake, lakini kama lengo lako ni maslahi pekee, Mapacha anaweza kugundua kwa haraka na kupoteza hamasa.

Ushauri wa Kiroho

Kama nia yako ni kimaslahi, jiulize: je, maslahi hayo yana baraka? Je, yatakujengea au yatakuharibia hatima yako?

Mapacha ana roho ya kugundua mambo kwa haraka — hivyo, kama huna nia safi, kuna uwezekano atahisi au atakuchunguza.

Jaribu kuweka mbele ukweli, heshima na mipango yenye malengo safi ili yasikurudie kama madhara.

Hitimisho

Mahusiano kati ya Simba na Mapacha yanaweza kuwa na nafasi ya kusaidiana, lakini yakikosa uaminifu na nia safi, mara nyingi huishia kuvunjika au kuleta vurugu za kihisia.

Kimaslahi, Mapacha anaweza kuwa mshirika wa muda mfupi mzuri ila si wa kudumu bila msingi thabiti wa nia njema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom