Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
NYOTA YAKO LEO JUMATANO JUNI 25/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Tulia nyumbani na marafiki lakini ni wale waliokuzidi umri Kutana na viongozi wa kikundi chenye kikao cha leo kitakuwa na manufaa makubwa kwako Utajikuta umepata nafasi ya kusimamia baadhi ya mambo.
•Tegemea kufunguka zaidi biashara zako na kazi zako zitaenda vizuri.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
Hakuna kitakacho kwenda vizuri uadui umeongezeka na vikwàzo pia Ile misaada uliyokuwa unategemea kupata hutaipata mikopo nayo imekwamishwa na wasio kutakia mema Kuwa makini na watoto wamejiingiza kwenye sakata hili tafuta msaada haraka utapata mtu ambaye atakusaidia.
•Utapata matumaini makubwa na mazuri kwenye mambo yako yote kwa ujumla na utafarijika kwa mengi.
★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)
Umetoka kwenye hali ya ushindani ni muda muafaka kuanzisha shughuli nyingine itakayo kukwamua Japokuwa kutakuwa na kelele nyingi wewe usizijali tafuta eneo lenye vurugu na anzisha shughuli yoyote lile utajikuta unapata mafamikio hali ya kudhoofu kwa afya yako itakusumbua.
•Utapata furaha leo na mtu wako wa karibu atakufurahisha na haja zako nyingi zitatimia kwa namna usiyoitarajia.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Maelewano na kupatana kazini na kwenye shughuli zako leo kutakupa ukitakacho Fuatilia mipango yako ya pesa na kazi iko vizuri wakumbushe unaowadai watakulipa utapokea pesa leo kutoka kwa mtu utakaye elewana nae kwa ajli ya kazi Masuala ya uchumba na ndoa yana nafasi kubwa.
•Mahusiano yako yatakuwa na utulivu na amani itatawala katika nyumba yako.
Safari zako ni nzuri.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
Jihadhali na malumbano utajikutà unazua ugomvi na jamaa zako Usimshirikishe ndugu kwenye masuala ya kazi na pesa hali inayo wakumba ni ngumu wamekwama Wanahitaji kusaidiwa.
•Maswala yako ya kiafya yatakuwa vizuri zaidi na ikiwa una mgonjwa atapona na atakuwa sawa zaidi.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
Unahitaji kufikiria njia itakayo kusaidia kutatua tatizo la mtoto ambaye hajatambuliwa Unashauriwa kukutana na wazee au viongozi wa eneo lako zingatiai ushauri utakaopewa na tekeleza Kila kitu kitakwenda vizuri na wewe jishushe kidogo ili kulimaliza jambo hili.
•Kazini kwako au kwenye kazi zako leo kuna hali ya kufitiniwa na watu kwenye kazi zakk hivyo ishi kwa umakini na tahadhari kubwa kuwa makini zaidi kuna watu wanaandaa njama ya kukuchafua.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
Tarajia kupata msaada kama utauomba uko kwenye nafasi nzuri ya kufanikisha mambo yako mengi leo ni siku nzuri kwako kupata ulicho kusudia shughulika suala la mkopo utaupata Kujistarehesha kwa leo inapendeza lakini usiwe pekee.
•Utapata maudhi maudhi leo na kubishana au kutokuelewana na watu kwenye mambo yako leo.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
Leo itajikuta ikilaumiwa na rafiki yako na kupigiwa kelele sana kuwa makini jambo lisiwe kubwa Kutatokea upotevu wa kitu chenye thamani kubwa jiepushe na mabishano kuna taarifa za mgonjwa zitakufikia na kufunguliwa mashtaka.
•Mahusiano yako yatakuwa na vurugu lakini za muda mfupi na amani itarejea.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
Kumalizika kwa mgogoro uliokuwepo kati yako na ulio kosana nao Kutajitokeza hali ya kuelewana na adui zako Jumatano ya leo ni siku nzuri kwako utajikutà ni mwenye kufurahia jambo utaingia kwenye mahusiano mapya ambayo yanaonyesha yatakuwa na usumbufu.
•Safari zako leo zina mashaka mashaka na uziti mkubwa lakini mwishi utafika salama.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Jiepushe na kuendelea na mipango yako ya zamani anza kufanya mambo yako upya Inaonekana kuna figisu figisu utapokea kitu au taarifa mpya zitakazo kupa matumaini Kuna habari za mimba na kupatikana kwa mtoto mipango yako inahitaji kutumia nguvu.
•Mahusiano pia hayana tatizo kwa sasa utulivu utapatikana
Safari zako ni nzuri usighairi.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Leo unatakiwa ufanye safari kwenda kufuatilia masuala ya pesa na kazi utapata utakacho lakini unatakiwa ubadirishe baadhi ya mambo uliyopanga mwanzo Utapokea ujumbe au mgeni kutoka mbali atakae kunyooshea mipango yako ule mpango wa kuhamishwa kikazi bado uko palepale.
•Jambo la kuzingatia Kufanya mambo madogo madogo pamoja na familia yako kunaweza kuimarisha upendo wa kudumu.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Mafanikio yanakuelekea hivyo fanya mawasiliano na jamaa zako siku ambayo unatakiwa kuwapa kipaumbele ndugu na jamaa washirikishe kwenye shughuli zako kila unalolitaka litafanikiwa usipuuzie simu utakazo pigiwa na ujumbe utakao upata.
•Wanawake walioolewa hawapaswi kuruhusu wapenzi wao wa zamani wawasumbue leo.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.