Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,007
- 5,446
- Thread starter
-
- #61
Akili hizi hizi ningezaa na mama yakoYaani unaleta kitu cha wiki upo serious na mapenzi kweli? Halafu unasema umetoka kwenye ndoa ? Wewe inaonekana haujielewi ndiyo maana mkeo kakukimbia kwa akili hizi lazima mwanamke akimbie nenda waulize wazazi wako watakupa uzoefu.
Aiseeeh jana nimemwagiwa kilio balaa nikasema subiri basi uzae kwenye ndoa anasema sitomuoa leo wa kesho hivo anataka mtoto nkamwambia usidhani nirahisi aAngalie maisha yake asubuhi nimechuniwa mpaka sasa namuangalia tuuYani ukiwa huwajui watahangaisha sana akili yako
Mama alikuwa akili kubwa, unazani mjinga kama wewe kwenye familia yetu angekula konzi zakutosha mpaka aote uparaza, mwanaume mzima anaweza leta ujinga kama huu ? Hasara kwa mama yako!Akili hizi hizi ningezaa na mama yako
Mkuu familia nilishaanzisha ikafeli now am just want kukidhi tamaa zangu na sijazoea kununua malaya hivo inanibidi nianzishe mahusiano ya mpito sema ndo nakutana na wanawake wa namna hii.we jamaa unaanzisha mahusiano kwanini? ili umsahau ex-wife wako au ili kuendeleza familia.... fumbua hilo fumbo kwanza.
kamaa huu uzi ni wawajinga mwerevu usinge comment...Mama alikuwa akili kubwa, unazani mjinga kama wewe kwenye familia yetu angekula konzi zakutosha mpaka aote uparaza, mwanaume mzima anaweza leta ujinga kama huu ? Hasara kwa mama yako!
Haya sawakamaa huu uzi ni wawajinga mwerevu usinge comment...
Ila na wewe mama ako angekua na akili si angezaa na mwinyi saa hizi ungekua rais??? Sasa hapo ulipo hata kwenye ukoo hutambuliki
mjuba ivo vitu vinapagawisha sema mimi sijaafiki mazee..hamna mimba hapoHeheheh hapo ni pipa na mfuniko! Kuna dalili ya mtu kupagawa na taqo😅
Ahaa kaza mzeemjuba ivo vitu vinapagawisha sema mimi sijaafiki mazee..hamna mimba hapo
Ila nini ndugu yangu usi ni mind saana...haya mambo ya mtandaoni tuu. I respect you!Haya sawa
Mie nishakuacha naendelea na mambo mengine, sitaki kuongeza maadui.Ila nini ndugu yangu usi ni mind saana...haya mambo ya mtandaoni tuu. I respect you!
Kizazi. Mzee usihi mileleMie nishakuacha naendelea na mambo mengine, sitaki kuongeza maadui.
Tayar anasema ana vigezo vya kua mke?Nawakumbusha wachangia mada, Mleta mada amesema huu uhusiano mpya na Mpare una wiki moja yaani siku 7
Wakati tunaanza mahusiano baada ya miezi nne akaniomba nimzalishe kipindi ambacho sikua tayari wala mpango wa kuzaa kabla ya ndoa, alinisihi kwa mapenzi nilikubalai,Kuna mahali unasema.... MKEO mmezaa watoto wawili kwa "Ridhaa yenu".. Kwamba ( yeye ndo alopenda Zaidi)
Swali kwako, Je MKEO asingependa, wewe hukuwa tayari kuzaa ??
Mkuu si una act iwa tuu huwajui wanawake nn!! Hata ivo she play her role good maongezi na matendo yake hivo siwezi sema tofauti ila ukwel sijam verify bado.Tayar anasema ana vigezo vya kua mke?
Aisee,
Mtoa mada hawezi kua serious
Halafu mi namshangaa huyu jamaa,.. Keshasema mwanamke ana sifa zote za kuitwa mke, sasa anasubiri nini uyu jamaa panya nini uyu...Mzalishe umchukue uweke ndani shida ipo wap kiongozi
Anajua changamoto niliyopitia anasema hataki uzoefu wangu wa nyuma anachotaka azae kwanza na mimi na yupo tayari kuzaa watoto wengi na mimi na kulea watoto wangu wa mwanzo..
Ngashtuka mzeeUnapigwa.
Nimelishtukia hilohuyu anahitaji mimba ili ajihakikishie ataolewa.
Anatumia mbinu ya PMU.