Bora umeweka wasifu wake hapa kwa sababu kulikuwa na baadhi ya wapumbavu wa CCM hapa walishaanza kuzusha kuhusu uraia na asili yake...Historia ya Nyambura Moremi, MD, PhD, hii hapa chini.
..Ni Mtanzania amezaliwa wilayani Serengeti.
Worthy to be illustrated...
Mkurya huyo, kanda maalumAtakuwa mkenya huyo
Bora umeweka wasifu wake hapa kwa sababu kulikuwa na baadhi ya wapumbavu wa CCM hapa walishaanza kuzusha kuhusu uraia na asili yake.
Ni kweli kabisa wanatafuta mtu wa kumtoa kafara, wanafanya kila njia kuleta propaganda na shutuma za kijinga kwenye taaluma za watu. Mara test kits zina fault, mara matokeo yote ya tests ni positive, mara kuna hujuma zinafanywa maabara, mara mabeberu wanaihujumu Tanzania. Yaani wanatumia kila sababu za kijinga kuepuka jukumu lao la kupima watu dhidi ya corona. Wewe mpaka leo hii kwa Tanzania nzima wamepima watu 652 tu? Tumeshindwa hata na Rwanda waliopima watu 34,350 mpaka hivi sasa...wanatafuta mtu wa kumtoa kafara.
..ila kwa taaluma na kiwango chake cha elimu, Dr.Moremi hawezi kukaa benchi muda mrefu.
..kuna taasisi nyingi nje ya Tz zinahitaji wataalamu wa kiwango na viwango vya Dr.Moremi.
Kwahiyo fenesi Elizabeth Yuko positive? Merecian mbuzi je?
Ulitaka kuona nini mkuu?Nimechunguzaaa mkono wa kushoto naona vidole havionekani vizuri! 😃 😃
Jipe moyo dada Duniani tuna mapito!
Mungu hameachi mwenye haki.
Kaolewa huyu.Nimechunguzaaa mkono wa kushoto naona vidole havionekani vizuri! 😃 😃
Jipe moyo dada Duniani tuna mapito!
Mungu hameachi mwenye haki.
Hii nchi ukionesha uzalendo lazima ikugharimu in big timeTatizo alikaidi maagizo toka Ikulu kubwa ya Chato, uweledi na upendo alionao kwa watanzania umemponza
Sent using Jamii Forums mobile app
Majina yanatokea tuJina langu lipo Zambia,Malawi na hata Zimbabwe..........nchi za wabantu hiziAtakuwa mkenya huyo
Sahihi kabisaHii nchi ukionesha uzalendo lazima ikugharimu in big time
Anamzidi kila kitu Ummy, kuanzia elimu, uzoefu wa kazi, uzuri, exposure labda kitu pekee Ummy anachomzidi ni Umri
mnataka kumuua ?Hakuna kitu kibaya Kama.politicing huyu mwansayansi
Huyu Ms Sarungi angekua anakaa kimya tu, she is making Nyambura life more difficult
Marito statasi'Ulitaka kuona nini mkuu?