Nyota ya Dr Nyambura Moremi itang'aa Kimataifa

Bora umeweka wasifu wake hapa kwa sababu kulikuwa na baadhi ya wapumbavu wa CCM hapa walishaanza kuzusha kuhusu uraia na asili yake.

..wanatafuta mtu wa kumtoa kafara.

..ila kwa taaluma na kiwango chake cha elimu, Dr.Moremi hawezi kukaa benchi muda mrefu.

..kuna taasisi nyingi nje ya Tz zinahitaji wataalamu wa kiwango cha Dr.Moremi.
 
..wanatafuta mtu wa kumtoa kafara.

..ila kwa taaluma na kiwango chake cha elimu, Dr.Moremi hawezi kukaa benchi muda mrefu.

..kuna taasisi nyingi nje ya Tz zinahitaji wataalamu wa kiwango na viwango vya Dr.Moremi.
Ni kweli kabisa wanatafuta mtu wa kumtoa kafara, wanafanya kila njia kuleta propaganda na shutuma za kijinga kwenye taaluma za watu. Mara test kits zina fault, mara matokeo yote ya tests ni positive, mara kuna hujuma zinafanywa maabara, mara mabeberu wanaihujumu Tanzania. Yaani wanatumia kila sababu za kijinga kuepuka jukumu lao la kupima watu dhidi ya corona. Wewe mpaka leo hii kwa Tanzania nzima wamepima watu 652 tu? Tumeshindwa hata na Rwanda waliopima watu 34,350 mpaka hivi sasa.
 
Ili Dhahabu ing'ae lazima ipite kwenye moto. Hata hili dada litapita. Sasa wataanza kuchunguza ulipataje hiyo position. Ila utatoka tu. Hapa watabadili Mkurugenzi ila wewe endelea kufanya sayansi. Najua upo hapa JF. Halafu nimeshangaa kumbe wewe ni rafiki yangu facebook.
 
Wameunda kamati kufuatilia mwenendo wa hiyo maabara, lakini wameshafanya damage kwenye hiyo maabara kwamba haiaminiki na inaweza isipate sampuli za kutoka nje au kuwa accredited na WHO kama reference lab.....mambo mengine yanasikitisha sana...
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom