Nyongeza ya mishahara

Poleni sana wafanyakazi wa umma, chakufanya sasa ni kwamba ukifika uchaguzi msikubali kuchakachua kura zetu.
 
Acheni kazi serikalini mjiajiri, mtakufa masikini!

we sasa ushauri gani huu, hv wote tukijiajiri watoto wa masikini watapata wapi huduma?mf. shule watafundishwa na nani ikiwa walimu wote wataamua kufanya biashara.
 
<br />
<br />
kwa hiyo tuweke tifu la mitaani?

Wanatutungia sheria na kanuni za kuwapendelea kama walivyofanya kwenye hii nyongeza afu tuko kimya kama vile hakuna vyama vya wafanyakazi hata kuaandaa mgomo au hata kuonyesha kukerwa kwa aina yoyote ile ina maana tumekubali kuishi kimaskini na wao kitajiri, Lakini kama tunashindwa kuwaunga mkono wanaharakati na wanasiasa wanaonyesha kutuamsha na unyanyasaji huu....basi wafanyakazi wameridhika kuwa kondoo

Njia ya kuonyesha kutokukubaliana nao ni kufufua majadiliano ambayo yakishindikana ni mgomo hakuna mbadala..
 
Back
Top Bottom