Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,349
Sijui kama dhana ya ukeketaji unaijuwa kwa undani, usije kushangaa hata mwanamke uliye nae amekeketwa ila hujui tuHao si watam wame keketwa k zao nikavu kama mkate wa boflo
Siku tukutane mwenge nikupandishe karakana tukale bangi bila fujoUkipata maeneo ya Mitunduruni waambie Kanyeka mumo nawasabaaaaaiii nawapa haaaaaaaii
Siku tukutane mwenge nikupandishe karakana tukale bangi bila fujo
Bonge la kivutio..sisi tunaita ma ng'ongo...mwanza Wana majabali Kama singida ila ya kwao hayavutii kupozi..ya singida unachill fresh tu na ukiwa popoteAsante sana Kaka, Nilikuwa naenda Singidani navuta Bange sana, natafuta pozi zuri kwenye yale mawe yaani full mlipuko.
Nikipita Singida ntakutafuta siku yoyote ile umenikumbusha mbali sana ndugu.Bonge la kivutio..sisi tunaita ma ng'ongo...mwanza Wana majabali Kama singida ila ya kwao hayavutii kupozi..ya singida unachill fresh tu na ukiwa popote
Me mwenyewe sipo singida Kaka nipo DSMNikipita Singida ntakutafuta siku yoyote ile umenikumbusha mbali sana ndugu.
Wazee leo nimetembelea sehemu moja inaitwa nyokaa lounge hapa singida mjini ,
Kuna totoz hizooo, yaani ni full of pensi. Ukiwatazama kwa umakini utazani wamevalishwa Pampers za watoto wachanga kwa nyuma.
Ila kuna binti la kimbulu isee hii ndio inafaa kwa matumizi ya consumers.
Singida mjini ni sehemu gani yenye night club kama hii?
Fanya ukifika karakana uje muhawa utanikuta , pia kabla ya karakana njoo minga bodaboda hapa ulizia wa kishua utanipata mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Singida my home town.karibu KBH singidani utanikuta