Nyoka huvutiwa na mazingira yanayowapa hifadhi, haswa majani au makorokoro yasiyo na mpangilio...uwepo wa wadudu na wanyama wadogo wadogo ndio chakula chao hivyo ni ngumu kwao kuondoka eneo wanalopatia riziki yao ya kila siku.
Kutegemea na sehemu unaishi, kama kuna baridi basi wana tabia ya kukimbilia kwenye nyumba, ingawa ukumbuke wewe ndio unajua ni nyumba wo hawajui..wanadhani ni pango tu kama pango lingine.
Tembelea maduka ya kilimo na ufugaji watakupa dawa za kupulizia zitakazowafukuza eneo hilo.
Asilimia kubwa ya Nyoka wanaopatikana kwenye Mazingira ya nyumbani hawana sumu.