Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Mtavimba mpasuke lakini Mheshimiwa Chenge, Nyoka msaka pesa anakuja tena. Hatukujari Magufuli kuacha kumnadi jukwaani wakati wa kampeni, tumemchagua kwa kishindo.
Anakuja, kama kawaida yake, polepole anageuza makengeza kusaka harufu ya noti. Kama vile hataki, kama vile zezeta kumbe anasaka pesa. Mtadhani ni mjingamjinga kumbe ametumwa hela. Mkijisahau tu, huyoo anachota mapene, anatuletea watu wake hapa Bariadi kwa wanyantuzu, super race.
Tunamshukuru hela za escrow alitusaidia kujenga maabara. Kubwa zaidi ametujengea kiwanda cha kufyatua mikate... yaani full kushiba. Sasa hivi badala ya asubuhi kula gabhugali ga ndemi, tunakula slesi za mkate na mabhele mabhobhotto(maziwa mgando)...hapo lafudhi ya kinyantuzu lazima iendelee. Na kwa vile rais ni WETU, hapo ni ng'wangaluka hadi Ikulu. Mtaisoma namba.