Sasa huyo wa Blue na nyeupe ndio nani?Rangi yoyote ya kichani ni sungu kama ccm sijawahi kuona mtanashati amevaa kijani zaidi ya ccm mkeleketwa.
swissme
Bora huyo ndege hana madhara kwa mtz kama huyo nyoka asiyetaka hata kuusikia ukweli hadi kufikia kutaka kulazimisha mswada wa kutufunga midomo.Hayo majamaa yana modomi mirefu kama mkasi.
Likizamisha kwenye maji lazima litoke hata na chura.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Bora huyo ndege hana madhara kwa mtz kama huyo nyoka asiyetaka hata kuusikia ukweli hadi kufikia kutaka kulazimisha mswada wa kutufunga midomo.
View attachment 427698