Nyoka wa ajabu

mkuu hii ndoto ina maana kubwa sana. kwanza kabisa kimira na ndoto nzuri kwa upade mwingine ni mbaya
 
Bila shaka wewe ni mtoto wa dawa ulipatikana kwa waganga wa kienyeji
 
Kwa ufahamu wangu nyoka ni tafsiri ya shetani, jini, mzimu (Ant christ)
Hawa nao wanaweza kua maumbo ya binadamu na waka act kama watu na waka join jf
Naanza kupata picha unajaribu kutuelezea wew ni nani
 
hahahaa.... duh?!
 
Ndio ila unaweza kuwa walienda kwa mganga wa kienyeji ndio ukapatikana yani hadi hapo najua kabisa who are you ni pm nyakuambia
Sema tu hapa hapa wala hakuna tatizo,

Kwanza mi sio mtoto wa kwanza kuzaliwa na wala hakukuwa na tatizo la uzazi hivyo ulichokisema hakina ukweli

Funguka tu mkuu nakufatilia kwa umakini sana
 
Hebu nipe mfano wa hayo wa hayo mambo ya kishetani?
Mambo yote ambayo yanamchukiza muumba kwa mfano wewe unaenda msikitini au kanisani kwa ajili tu umeambiwa na mshirikina uende kwenye nyumba za ibada ili mambo yako yanyooke hapo umeenda si kwa ajili ya mungu ila kwa ajili unashida fulani hapo utakuwa mshirikina Ingawa unaingia kwenye nyumba ya ibada
 
Mshana njoo ukuje huku, umuone huyu mkuu
 
Ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…