Nyoka wa ajabu

Kosa lako ni kutohakiki kama kweli wale ni kunguru ama njiwa ulivyofika kwenye mtu..inawezekana kabisa wakawa ni njiwa wenye genes za Kunguru!
 
ahaha! pia nasikia kuwa kuna imani kwa baadhi ya world views,kuwa ukifa unazaliwa kama kiumbe kingine mahali pengine,sasa wewe ukifa utazaliwa nyoka somewhere.
Mmmh kuzaliwa tena kama nyoka hiyo ni ngumu kumeza
Au labda nilikuwa nyoka zamani Kabla sijazaliwa na kuwa mimi huyu wa sasa?
 
ahaha! pia nasikia kuwa kuna imani kwa baadhi ya world views,kuwa ukifa unazaliwa kama kiumbe kingine mahali pengine,sasa wewe ukifa utazaliwa nyoka somewhere.

Kwani ana roho mbaya kiwango hicho? Maana kuna imani kwamba ikiwa ulikuwa kiumbe safi duniani ukifa nafsi yako huzaliwa katika kiumbe kingine hai mfano mtoto mdogo kisha kufutwa kumbu kumbu zote za kupata kuishi kabla ila kama ulikuwa na roho ya kibandidu ukifa nafsi yako huzaliwa katika kiumbe kisichokuwa binadamu bila kufutwa kumbu kumbu...so unajikuta wewe ni nyoka unaishi kwenye shimo karibu na iliyokuwa nyumba yako ama unajikuta ni paka ama mbwa kwenye yaliyokuwa makazi yako!
 
KWA picha hii wewe unamtaka kuvimeza vyama vya upinzani ili ubaki mwenyewe lakini Romo Mtakatifu anakataa ila ukikaa tena unatamani hivyo hivyo. Okoka
 
Em acha kupoteza muda na kuwaza maduduwasha kama hayo. Focus on what is really important, haya mambo ya ndoto ni ndoto tu, hakuna maana yoyote ile kwenye ndoto, najua hupendi kusikia hili ila ndio ukweli, ni brain tu inaplay tricks.
 
hahaha,hyo nilikuwa sijui,ila nikiconnect ndoto yake na imani hyo,hayo ndo majibu ninayoyapata.kuhusu uzuri wa roho yake anajua mwenyewe.huenda hyo ndoto ni kama anaonywa abadilike mapema.
 
Kosa lako ni kutohakiki kama kweli wale ni kunguru ama njiwa ulivyofika kwenye mtu..inawezekana kabisa wakawa ni njiwa wenye genes za Kunguru!
nilivyo elewa mimi ni kwamba akiwa juu ya mti anaona ni kunguru lakini akiwa chini anaona ni njiwa... na ni kama mara mbili hivi alihakiki hivyo...

Lakini swali la msingi anataka kujua je yeye ni nyoka anayeota/kuwaza kuwa binadamu? au ni binadamu anayewaza/kuota kuwa nyoka?....
na pia sidhani kama shida yake ni kujua hii ndoto inamaanisha nini, yawezekana sio mtilia maanani wa tafsiri za ndoto!...
 
Anyway labda itakua ina maana fulani, kutafsiri ndoto kunahitaji elimu yake. Ukiota nyoka maana yake ni ADUI au UBAYA me naweza kusema labda wewe upo katika namna fulani ambayo sio NZURI au SAHIHI na pengine unatarajia kupata kitu fulani au matokeo fulani huyatakayo lakini kumbe ni tofauti na hali halisi
 
Kwahiyo mimi ni nani?
 
hahaha,hyo nilikuwa sijui,ila nikiconnect ndoto yake na imani hyo,hayo ndo majibu ninayoyapata.kuhusu uzuri wa roho yake anajua mwenyewe.huenda hyo ndoto ni kama anaonywa abadilike mapema.

Tukifuata maandiko ya vitabu vitukufu vya Mwenezi Mungu tunaambiwa kuanzia siku unazaliwa ratiba yako imeshaandaliwa hadi mwisho baada ya kumaliza maisha haya kwenda kupangiwa kazi nyingine...kwa muktadha huu ukipadilika ni bure tu maana mwenyewe mkuu Mbinguni keshakuweka reserve!
 
Em acha kupoteza muda na kuwaza maduduwasha kama hayo. Focus on what is really important, haya mambo ya ndoto ni ndoto tu, hakuna maana yoyote ile kwenye ndoto, najua hupendi kusikia hili ila ndio ukweli, ni brain tu inaplay tricks.
Thank you.
Lakini sasa ndoto yenyewe haisahauliki kwa urahisi ila ntajitahidi kufanyia kazi ushauri wako
Napenda kusikia ushauri wa kila mtu
 
Binafsi huwa siamin hizo mambo za ndoto.. Nishaota sana cjui nipo vitani,cjui nipo marekani,cjui nakimbizwa na mbwa mara nakimbizwa na nyoka, mara hiki cjui nakula mijusi..kiujumla we fanya kupotezea tu hizo mambo.. Kama unaamin kwenye masuala ya kidini fanya maombi/dua kama unaamin kwenye uganga nenda kapige ndumba kidogo na kama ni huamin uwepo wa Mungu endelea kula bata..
Wewe ni wewe na utabaki kua ww, forget about nyoka dreams...
 
Asante sana
Na kama ni mfanya biashara kweli ila biashara haikuhusisha kabisa hayo maswala ya waganga au mambo kama hayo inaweza kuwa ni tatizo gani na nini kifanyike?
Lazima itakuwa alihusisha, ndoto ya nyoka ni uadui, ila sasa kunguru wakawa wanamsaidia, kwa sababu angejua tangu chini wale ni kunguru asingepanda juu,lakini walikuwa wanaonekana njiwa, akipanda wanakuwa kunguru, ndio ikawa heri kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…