ππππWatu wengi waliokutana nae wakatulia wakasali sala zao mwisho wameokoka hakuwagusa, ila ukijifanya we ni mwamba, unakimbia huku unapiga makelele...ni anakukimbiza huku anakugonga double double mpaka unageuka rangi ya chungwa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
1.Dawa iko hospitalini, na kijijini kwetu kuna mbibi alikuwa ana mitishamba wakikuwahisha utapona kabisa ila iwe within 20 mints..1.kwa hiyo kama anamgonga mtu huwa kuna dawa yoyote
2.kama ikigundulika sehemu flani kuna koboko huwa mnachukua hatua gani??
Ni wapi twende wote tukatembee?Mi nakwambia ukweli....kijijini kwetu koboko wamejaa ka mchanga
Nikianza kuhesabu watu aliowaua sina hata idadi...
Hilo la kubeba sufuria la uji huwa naliona humu na mimiWanaosema ubebe sufuria la uji ina maana hagongi sehemu tofaut ya mwili zaid ya kichwani?
ππHatamdhuru na atajitahidi wasikutane, ila we ukiingia kwenye hilo shamba anajua we ni mwizi kwahiyo utakoma
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Stori za vijiweni hizo,ukibeba uji utaishiwa kumwagikiwa mwenyewe huo uji kwa hofu pindi ukimuona halafu baada hapo anakutandika meno kwenye mbavu ndio utajua hujuiWanaosema ubebe sufuria la uji ina maana hagongi sehemu tofaut ya mwili zaid ya kichwani?
Huyo ni mla nyoka, mbabe wa nyoka hasa honeybadger huyo ndo kiboko yake!.huyu ni mwamba, huyo nguchiro naye ana sifa gani ya hatari??
mtoto wa masaki wewe kijijini umekaa miaka ipiMi nakwambia ukweli....kijijini kwetu koboko wamejaa ka mchanga
Nikianza kuhesabu watu aliowaua sina hata idadi
Ishu iko hivi akikuona we hujamuona huwa hana time kabisa ( na ni lazima akuone kabla hujamuona)...balaa ni pale mtakapogonganisha macho, yaan akajua kuwa umemuona, hakuachi kwa sababu utaenda kutangaza huko kwa watu kuwa umeona nyoka mje wengi mumuue so anakuwahi... ( Ndo maana kijijini kwetu wanamhusisha na ushirikina kwa hizo akili zake
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Labda humjui huyu nyoka ,,huyu ni nyoka anayengata zaidi ya mara moja na anauwezo wa kuua watu zaidi ya kumi na tano,,Ikiwa Tembo mkubwa vile akingwata anakufa ndani ya saa moja vipi binadam....Dawa nyingine chukua kundi la kondoo wengi waswage uwapitishe alipo atagonga mmoja tu na kuishiwa sumu na mnamuua Sasa bila shida,ila ukubali kupeteza kondoo mmoja.
Hahaaaaaa,huo mpozi wake balaa mkuuAmuue wapi huyo kakutana na dubwashaa limeshajifia kwa ajali
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Huyo mwamba kanichekesha sana mkuu,yaani na uno kalibenjua kabisa,kageukia kule hana habariyaani ndo ameamua kutuwekea na Uno kabisa
Zamani njia yenye hayo madude wazee walikuwa wanafanya hivyohapo ni kabla haujakutana nae au??
Bahati mbaya na zako zitakuwa zimefikaLooh Sasa akosee itakuwaje mkuu hapa