Nyoka-DStv

Huyu jamaa asiwadanganye huwezi kupata dstv bure kila baada ya dakika code za dstv zinabadilika

hakuna kisichowezekana kaka! ukiona mtu ana dish 2 za ku! ujuwe iko namna.....fuatilia zaidi,watu wananyonya na wenyewe wanajuwa na wamshindwa kublock hadi sasa.mchina nouma! we acha tu!
 
Jamaa amewateka akili kweli, hivi yuko pembeni anawacheka. Msipende ubwerere!! Bure inaua. Multichoice watawafungia smart card zenu for ever.
 
Huo ni wezi wa kizamani,walishaiba na mwisho wa siku ikafungwa,utatumia hata mwaka lakini kaa ukijua iko siku itafungwa tu, Lakini zaidi sana msipende kujilemaza kwa kuwaza kupata kitu cha bure wakati wote.
 
Hawa jamaa kuna haja ya kuwachakachua si unajua izi rate zao ziko juu sana such that DSTV inakuwa kama anasa fulani ivi unlike in Kenya rates zao ziko reasonable!
 
Huo ni wezi wa kizamani,walishaiba na mwisho wa siku ikafungwa,utatumia hata mwaka lakini kaa ukijua iko siku itafungwa tu, Lakini zaidi sana msipende kujilemaza kwa kuwaza kupata kitu cha bure wakati wote.

Kwa hiyo wizi wa kisasa ni kuiba muda wote! Hawa watu wametuexploit saaaana, na kodi wanayorudisha ni kidogo saaaana, WACHA TUWAKWIBE! SAMAHANI KAMA NIMEINGILIA MASLAHI YAKO.
 
mzee umefanya april fool nini? mbona upo kimya despite of all PMz

Mkuu inawezekana severs za hao wachina zipo very down so nao hiyo trick hafanyi ila wametoa toleo jipya ya receiver ambayo inakubali nahisi hao jamaa walio igia mitini hazifanyi kazi hizo receiver. Any waycheck na hawa watu zipo kibao tu ila tatizo kuagizia wanataka Bulk order hawatumi single piece.
222222.jpg

Area
Nigeria 、Ghana 、Togo、Benin、Burkina faso、Senegal 、Gambia 、Guiner、Sierra leone 、Liberia 、Cote divoire、 Cameroon、 Gabon、 Congo 、D.R. congo 、Central africa 、Uganda 、Ugnada、Kenya、 Somalia、 Tanzania、Burundi、 Angola、 Zambia 、Malawi 、Mozambique、Swaziland、 Zimbabwe、 Botswana 、Namibia、Lesotho


Channel
dstv 36e--------------eutelsat w7 36.0E
canalsat--------------nss7 22.0W
Psat ------------------Eutelsat W3A 7.0E
HiTV------------------ Eutelsat W4 36.0°E
My TV---------------- Intelsat 10 68.5°E

Cyfra +---------------Hot Bird 9 13.0°E
Al Jazeera Sport-----Nilesat 7.0°W
Al Jazeera Sport----Nilesat 102/201 & Atlantic Bird 4A at 7.0°W


007FTA sd mpeg2 satellite africa dongle (007 fta )

Features
- 6102D solution
- MPEG-2 digital and fully DVB complicant
- Scart connectors and RCA / AV output
- 1800 channels TV&radio programmable
- Full picture in graphic(pig) function
- Channel list editing
- High quality on-screen display(OSD)
- Electronic program guide(epg) for on screen channel information
- Program and channel information transfer from receiver to receiver or PC to receiver
- Parental lock facility by channel and program event
- RF output adjustable from 21 to 64 channels
- Video/audio decoding
- Video decoding MPEG2 DVB compliant (main profile@ main level)
- Audio decoding MPEG layer 1 & 2 (32, 44.1, 48KHz)
- Bit rate up to 15MB/s
- Sound mode mono/stereo
- Mains 80-250V~, 50/60Hz ,Power consumption 8.5W
- RF input (for aerial) connector female iec 169-2
- Output cvbs, audio l/r ,RF output connector male ice 169-2 ,erial port RS232




Link ni
007 FTA-SKS dongle - africa-Products-africa dongle avatar dstv w3a canalsat nilesat hotbird thaicom cccam account internet
 
Back
Top Bottom