Nyoka-DStv

Nyoka-DStv

kwa experience yangu humu jamvini lazima watakuwa wameigundua na kuiblock fasta..
 
Wale waliofanikiwa majibu jamaa mbona mpo kimya tujuzane ata kwa pm pls
 
kwa experience yangu humu jamvini lazima watakuwa wameigundua na kuiblock fasta..

yule jamaa anaetaka ubunge kule kwa januari makamba 2015 mtoto wa shelukindo yupo humu kwa iyo hakuna wasichojua dstv
 
Shukrani sana mkuu nilikuwa sijalipia imekubali sasa hivi ,ureee...

hebu mkuu fanya kama umepotea njia hivi halafu nidondoshe mautundu hapa joa.Michael7@gmail.Com
 
Hakuna lolote lile watu wanajifanya wanamaujanja badala ya kuyamwaga hadharani wanakimbilia tu wa PM tukiwa Pm kimya.

Hebu ona hata thread yenyewe kaitelekeza
 
Back
Top Bottom