BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Tatizo simu imezoea kuandika kichinaUkinywa bia huwezi huwezi kufanya makosa kama hayo[emoji124] [emoji124]
Tatizo simu imezoea kuandika kichinaUkinywa bia huwezi huwezi kufanya makosa kama hayo[emoji124] [emoji124]
Hahahah kweli aiseeSure..Na hawa wadada wenye nyodo ni ****** pia..Ndo mana hata walivyojibiwa hivyo wakasepa..Ukiwa na Nyodo sharti uwe mtata na hauna aibu..
kwani waliokua nje ni maNesi au wagonjwa?Naomba nikutahadharishe kuwa ukifika hospitali usipomsalamia mganga lwako au nesi na hata ukiwa mkubwa msalimie 'shikamoo mwanangu daktari' ingawa ni NESI. Hapo utahudumiwa kama mfalme, kumbuka huwezi kubadili ulimwengu mengine mbwembwe. Hivi unajuaa hongo hapa TZ ambayo si ghali ni SHIKAMOO mwanagu? La sivyo utoe chochote kipi bora?
Na kweli hata mimi nimeshtuka,lakini tatizo sio mimba Mkuu,tatizo mademu wa siku hizi wanajali pesa sana,hivyo ni bora tuwaepuke,halafu wengi wana ngoma.Kwan namba ya cm inatia mimba?
Kwa hiyo wewe huamini kama ukimsalimia mwanaume atakuomba namba ya simu?Mimi siamini katika hilo
Kweli sio mzuriLeo upo. Usista duu sio mzuri
hahaaaaaaa asante sijajuaHongera kwa moyo huo. Ila umeandika kiume na kihuni hatari. Duh!
Hawakusalimia hata manesi ndo maana waliwaeleza waende nje wakapate maelekezo. Je wangetanguliza shikamoo wanangu madaktari bingwa si wangeelekezwa?kwani waliokua nje ni maNesi au wagonjwa?
Na huwa mara nyingi sipendi kumpita bila salam nsomjua na huwa nafanya kwa tahadhali na ndo kama iyo ya hao mabinti mie hata mateja nawapa hi napita kishikaji tu! Ukiwaza kuombea namba muda wooote unapoteza tu mudaKwa hiyo wewe huamini kama ukimsalimia mwanaume atakuomba namba ya simu?
Basi wote ulokutana nao hapo kwene maelezo yako wana akili kama za mabinti wa mtoa madabora tu nionekane naringa,
nimekutana na matukio ya kushangaza baada ya kuwa msalimiaji.
tukio la kwanza kuna mahali nilisalimia yule mama akaniambia "unanipa shikamoo nalingana na mama yako kijijini" ?
tukio la pili nilisalimia nikaambiwa " mind your own business"
tukio la tatu nikasalimia watu wote kimya,
kuanzia hapo sisalimii.
nikifika mahali kama hakuna reception basi nitajiongeza mbele kwa mbele,
ila salaam kwa strangers ni mwiko.
Sasa sweet16 hapa tayari ni kama tumeisha salimiana au vipi?,samahani naomba uniwie radhi,naomba namba yako ya simu sababu nataka nikuulize jambo muhimu mara moja tu,naomba unitumie PM.Na huwa mara nyingi sipendi kumpita bila salam nsomjua na huwa nafanya kwa tahadhali na ndo kama iyo ya hao mabinti mie hata mateja nawapa hi napita kishikaji tu! Ukiwaza kuombea namba muda wooote unapoteza tu muda
Kuna Watu wako tofauti sana. Hapa mtaani kuna mzee ukimsalimia anakuangalia tu wala haitiki. Siku hiyo ana shida yeye nimsogezee kiti maana nilikuwa napita karibu na yeye akawa ananiita nikamkaushia tu.bora tu nionekane naringa,
nimekutana na matukio ya kushangaza baada ya kuwa msalimiaji.
tukio la kwanza kuna mahali nilisalimia yule mama akaniambia "unanipa shikamoo nalingana na mama yako kijijini" ?
tukio la pili nilisalimia nikaambiwa " mind your own business"
tukio la tatu nikasalimia watu wote kimya,
kuanzia hapo sisalimii.
nikifika mahali kama hakuna reception basi nitajiongeza mbele kwa mbele,
ila salaam kwa strangers ni mwiko.
Asante sana dugu kuleta maada hii watu wenye tabia hizi wapo wengi sana sio hospitalini tu wengine kwenye usafiri, mimi nimetangulia kukaa kwenye siti tunasafiri kwenda Mwanza mtu anakuja anakaa kiti cha pili bika salamu anaendelea na mambo yake mara simu mara oooooo nipo safarini mara oooo unasemaje shoga nimesahau kuchukua vipande vyangu vya kuku nilivyovikaanga jana usiku kwa ajili ya kula safarini.. baadae unakuja kugundua mtu mwenyewe kule anakoenda ni mgeni anaanza kujishaua mara ooo sijui tumefika wapi hapa mara sijui tutafika saa ngapi Mwanza amesahau kwamba aliingia na kukaa kwenye kiti chake bila kujali kunipa walau salamu fupi tu... ya habari? anakaa huku anatafuna bg mdomoni utafikiri ana mkataba na kampuni inayotengeneza hizo bg si sawa kabisa watu wa namna hiyo huwa nachunia kinoma sana... tena wakat mwingne nawambiaga nenda kamuulize yule kaka au dada wa kiti cha mbele atakusaidia wanakomajeeee!! nyodo juu ya nyodo shenzi kabisaaaaa!Habari za jumamosi wanajamii
Jumanne ya wiki hii nilikuwa pande hospital malaria ilikuwa inanisumbua kiaina sasa nikawa nimetulia sehemu nasubiria majibu kutoka maabara.Mara wakatokea mabinti 3 masista duu kinoma wakaja karibu na nilipokuwa nimekaa hata hawakunisalimia wakawa wametulia ila nahisi lengo lao lilikuwa kupata matibabu inaonyesha mmoja kati yao alikuwa anaumwa sasa pakuanzia ikawa shida inaonyesha sio wazoefu sana pale hospitali.Tatizo likaja waanzie wapi sasa wakawa isitoshe hawajasalimia mtu yeyote pale.Walipoingia ndani wakakuta manesi wametulia sehemu wakawaulizia wanaanzaje manesi wakawaambia nendeni nje mkaulizie utaratibu kwa wenzako uliowakuta hapo nje watakuelekeza unaanzia wap na unaishia wap.Sasa kimbembe kikaanza hawajasalimia mtu yeyoye wakawa wanajistukia kwa kuona aibu waanzaje kutuulizia maana walikuja kwa mbwembe balaa.Huwezi amini waliondoka bila kutibiwa kutokana na nyodo zao
SOMO-salamu nikitu muhimu sana hasa nyie wakina dada acheni nyodo hata ni wazuri kusalimia sio kwamba kutapoteza uzuri wako,mnaringa sana utafikiri labda mna maisha mazuri sana acheni nyodo kwa watu msiowafahamu mtakosa vitu vizuri maishani
Nenda PM bana si lazima namba ya simuSasa sweet16 hapa tayari ni kama tumeisha salimiana au vipi?,samahani naomba uniwie radhi,naomba namba yako ya simu sababu nataka nikuulize jambo muhimu mara moja tu,naomba unitumie PM.
Ahah ata mi nimejiulz alaf anadai kavaa min miguu hyo dah!!!!!! mwisho anamkoba akatoa mtandio.Wewe ni mtoto mzuri. Hongera sana kwa utu wako.
Ila mkuu ninachojua wewe ni jinsia ya kike, sasa mbona umemsifia sana huyo duu mwenzio na ukaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa alikuwa na kitu ambacho ulikipenda? Ha ha ha
bora tu nionekane naringa,
nimekutana na matukio ya kushangaza baada ya kuwa msalimiaji.
tukio la kwanza kuna mahali nilisalimia yule mama akaniambia "unanipa shikamoo nalingana na mama yako kijijini" ?
tukio la pili nilisalimia nikaambiwa " mind your own business"
tukio la tatu nikasalimia watu wote kimya,
kuanzia hapo sisalimii.
nikifika mahali kama hakuna reception basi nitajiongeza mbele kwa mbele,
ila salaam kwa strangers ni mwiko.
Ahah ata mi nimejiulz alaf anadai kavaa min miguu hyo dah!!!!!! mwisho anamkoba akatoa mtandio.
sawa mkuu,Ha ha ha...best usifanye hivyo banaa. Nakushauri uanze tena kusalimia raia ukiwakuta mahali. Hizo incidences tatu ni bahati mbaya tu. Usizitumie ku-generalize. Watu wengine wana mastress na mafrustrations yao. Wakinyamza au kukujibu vibaya wewe endelea na hamsini zako. Achana nao. Sana sana wahurumie tu. Pole sana rafikiangu.
Halafu kimya sana aisee...
Hilo nalo neno......bora tu nionekane naringa,