Nyodo nyingi, getho lake limejaa kunguni

Kweli wanaume wanazidi kupungua wanabaki wavulana tu!yani unakuja muanika mpnz wako hapa du!sasa imesaidia nini?ulipo andika hapa akafanya usafi na kunguni wakaisha??ntarudi[emoji124]
 
Jiwe moja limepiga ndege wawili.

Najua hapa wengi wameguswaaaaa
 
Hilo gheto lilipaswa kuwa la MWANAUME... Maana kuna watu humu kila kitu cha HOVYO WAO wanadhani ndy uanaume....mbn siwasikii kusuport UCHAFU...
 
Wewe mbeya na mwanamke naye mbeya sema wewe umemzidi maana umetuletea huku
 
Wewe mbeya na mwanamke naye mbeya sema wewe umemzidi maana umetuletea huku

Badala umsaidie kufanya fumigation unakuja kuongea huku. Kama amekuwa anakuja kwako hajakuhamishia kweli? Hivi nae sio member wa JF? Au hii ni revenge baada ya yeye kukulipua humu?
 
Yani uliwazia kulala kabisa? Ndo maana mnagongewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…