Mkuu, sio punyenye wakutojua ana maana gani , its not first time kunikuta na ikawa exactly what i thought
Mmmhhh hahaha hahaha najivunia mumewangu ni handsome wa kweli halafu tall mda wote nna wivuHahha wacha utani mkuu mim niko serious muache hizo tabia , murkdhike na waume zenu japo wana vitambi mukituona sisi fit slim body macho yanawatoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar zenu wana jf ,
Jana tu nilitoa uzi kuhusu kutaka kuhairisha ndoa kutokana na wanawake wawil , ambao wametokea kuonesha kunijal sna
Leo nimekutana na makubwa mpaka nimepigwa na butwaa
Ni hivi kuna dada kaja na mumewe kupata huduma za ki afya ninapofanya kazi bas skuamin jins alivyokua ananiangalia uson yaan all the time had nampa maelez yy hayupo kabisa ananiangalia tu machoni , had anakuja mumewe akaanza kujibabaisha
Yaan kuna miangalio flani nazan wakuu munajua sio ya kawaida yaan had nimejiskia vibaya kwa kwel alipokuja mume wake yule mdada
Leo kaja na mumewe ila naamin atakuja tena peke yake next time
Mbona wanawake hamridhiki na waume wenu na badala yake munatueka ktk majaribu sisi wengine
Kumalizia nitakuja hapa hapa kuwapa mrejesho sikua atakayokuja tena naiman atarud as soon as possible

Kwanza wewe ni ke / meHebu weka picha yako tupate jibu kwann alikuangalia sn
Sio ivyo mkuu , mbona mm sinaga hyo but huyo dada alikua too much mitegoHAYA NDO MATATIZO YA KUSIFIWA WEWE NI HANDSOME ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe kwanini usingekaa nalo moyoni mpaka atakaporudi pekeake ndio usimulie alafu uombe ushauri baadae ulete mrejesho kama ulimkataa ama ulimla! Kakuangalia tu thread... Akirudi pekeake thread, akikutaka thread .. Ukimkataa au kumkubali thread ... Ukimla thread jamani mweeeee.....