sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,237
- 8,999
Umenikumbusha mbali mkuu, enzi hizo dada/msichana akisimama na nvulana wakaongea kidogo tu sis huku tayar tulishasemaNa wewe kwanini usingekaa nalo moyoni mpaka atakaporudi pekeake ndio usimulie alafu uombe ushauri baadae ulete mrejesho kama ulimkataa ama ulimla! Kakuangalia tu thread... Akirudi pekeake thread, akikutaka thread .. Ukimkataa au kumkubali thread ... Ukimla thread jamani mweeeee.....
nimume wake, ikitokea huyo bint akapata mimba hata kwa njemba nyingine lazma mimba itaegeshwa kwa yule aliyeoneka amesimama naye hadharani.