stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,107 Mar 7, 2012 #1 nakumbuka baadhi ambazo ni 1.lala mtoto mama aje akuletee mandazi! 2.ukuti ukuti wa mnazi 3.kioo kioo alikivunja nan? 4.ulingoo bayoyo ulingoo bayoyo! unaweza kuendelea ntarudi kumalizia
nakumbuka baadhi ambazo ni 1.lala mtoto mama aje akuletee mandazi! 2.ukuti ukuti wa mnazi 3.kioo kioo alikivunja nan? 4.ulingoo bayoyo ulingoo bayoyo! unaweza kuendelea ntarudi kumalizia
Asnam JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 4,256 Reaction score 2,949 Mar 7, 2012 #2 kitamba changu cheupe kina madoa meusi.., kinyulinyulika mwanangu mwana wa jumbe.....,nasaka mke wangu
kitamba changu cheupe kina madoa meusi.., kinyulinyulika mwanangu mwana wa jumbe.....,nasaka mke wangu