nyimbo za mrisho mpoto

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,212
1,364
habari zenu wadau,,, jamani mimi ni fun mkubwa sana wa nyimbo za huyu jamaa,, ila kwa lugha kali ya picha ambayo huwa anaitumia, huwa inakua simuelewi vizuri, hasa hasa wimbo wake unaoitwa adella.. Pengine wadau na wataalam wa jukwaa la lugha mngenisaidia.
One luv
 
Mheshimiwa Spika Anna Makinda ndio Adela, cheki mawaidha yake uone usia anaompatia.... Kweli jamaa anafanya vizuri
 
Back
Top Bottom