umenikumbusha wimbo naupenda sana mie kwenye ze bongo fleva life
Rita by Marlow
Ukweli -Maru na Vumilia..lovely
Bado Umenuna
Daima Na milele
Zilipendwa ......
Penzi Haligawanyiki-Vijana RMX
Kitambaa Cheupe .King Kikii
Hiba....DDC Mlimani
Huba ..Marquiz
:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
hivi ndoa kwani ni kifo kidogo? haujaona ile comedy ya kisenegal jamaa anaenda kuowa na best men wake wamebeba jeneza?hahahahaah lol
Embu acha fujo
huu wimbo si wa buriani jamani dahhhh
hivi ndoa kwani ni kifo kidogo? haujaona ile comedy ya kisenegal jamaa anaenda kuowa na best men wake wamebeba jeneza?
upi? mmmmmh!duuuuhhhhhh
mmmhhhhhhh
hapana , sitaki kuolewa na maiti..
mimi nautaka huuu
[COLOR=black]https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/136972-to-you.htm[/COLOR]l
request granted! Usisahau lakini, tuonane usiku wa kabla harusi.
heheeh lol dah! naomba e mail au hata fax ya huyo mpakaji hina hapo kwenye picha. Hakyababu nishasahau password yangu ya JF. Kanga zinatuzuru wengine jamani
Fuatilia gharama za umeme halaf nijulishe, nitahakikisha naweka umeme kijiji kizima ili mrembo afungue e mail.hahahahahhha lol
Khanga utapata dear
E mail, fax mmhhhhhh
nadhani umeona hali ya
hapa nyumbani kwetu
nilisikia kuna kitu kinaitwa umeme
umewahi kuona?? naomba nitumie basi..
nami nazipenda sana hizi
na ile ya beka nataman remix
zile za zamani napenda ile ......Usipate tabuuuuu Neema uliyoyafanya sio mageni hapa duniani eeeee
hata sijui inaitwaje
Unaitwa Neema wa DDC Mlimani Park Orchestra na huyo anaeongoza kuimba
ni COSMAS THOBIAS CHIDUMULE.
Dah enzi zile bwana Ujumbe mwanana.