Nyimbo za mapenzi za kibongo

Dayyyyym!!!Kloro umenikumbusha mbali...haki ya nani natamani kurudi nyuma nikawaimbie wenzangu Kaaaaaaamanda yey yeeee
hivi bado haujaamini tu kama nilikuwa DJ Zimbabwe?
 
umenikumbusha wimbo naupenda sana mie kwenye ze bongo fleva life
Rita by Marlow
Ukweli -Maru na Vumilia..lovely
Bado Umenuna
Daima Na milele

Zilipendwa ......

Penzi Haligawanyiki-Vijana RMX
Kitambaa Cheupe .King Kikii
Hiba....DDC Mlimani
Huba ..Marquiz
:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Nikilia nabembelezwa kwa upendoo, nae akinuna namliwaza kwa vitendoo, je wewe ulishawai kubembelezwa................................................, (Barnaba)

mwambie usimfiche bado robo saa mie nife, (Robo saa sijui ni wa Amini hii wimbo????

chukua busu, busu baby nishike hapa , hapa na pale, (Linah)
 
Hama Q - Lady

 
Last edited by a moderator:
TUSIGOMBANE KISA MSG, Barnaba na Lina.

HELOO Maumba na hussein machozi.
Nimekuchagua wewe na Nipigie.
 
1.hajatulia tulia huyu demu mapepe (wa kingwendu)
2.nakupenda tu...sura kama ngumi nakupenda tu ( wa dudubaya)
3. bembeleza ( wa nani cjui?)
4.
 
Kloroooo....umenikumbusha dedikesheni...ngoja nisikilize nimkumbuke mchumba!!

Jamani mimi ni mshamba wa miziki hii, lakini huu wa Jennifer Lopez (I think) aliyoutoa hivi karibuni mbona umefanana sana na wa huyu kijana?

Kila nikisikisikiliza ule naona kama maneno ni yale yale isipokuwa pale penye maneno ya kiswahili yeye ameweka na na na na na na nananananana!
 
Unaitwaje mpendwa???!
 

I LOVE THIS SONG..:dance:
 
Last edited by a moderator:
1.hajatulia tulia huyu demu mapepe (wa kingwendu)
2.nakupenda tu...sura kama ngumi nakupenda tu ( wa dudubaya)
3. bembeleza ( wa nani cjui?)
4.

hahahahah lol hapo kwenye blue
nadhani huu wimbo umevunja Record
naona wengi wanaupeda sana hahahahahha lol
sante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…