Nyimbo za kwaya ya Mt. Cecilia Mwenge

Liberto

New Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
2
Reaction score
6
Mimi ni mkenya na ni vigumu kupata nyimbo za kwaya hii hata kwenye bookshop za kanisa Katoliki hapa Kenya.

Naomba vile nitapata nyimbo hizi nzuri za kwaya ya Mt. Cecilia Mwenge Dar-es-salaam

1. Tumpokee kwa Shangwe iliyohusu Ujio wa Papa mwaka 1990,
2. Tunamshukuru Papa (Shukrani kwa ujio),
3. Hodie ambao umeimbwa kwa lugha ya Kilitini,
4. Tangazeni Uweza na Ua la upendo
5. Mwanga wa milele uwaangazie
(nyimbo za marehemu),
6. Utukufu wa Bwana utaonekana (nyimbo za ufufuko).
7. Utukufu
8. Malaika wanaimba
9. Mungu na mali
10. Tusali rozari


Any clues please I will appreciate it.









 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…