Nyimbo za kusifu na kuabudu

Nyimbo za kusifu na kuabudu

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,175
Reaction score
3,275
Jamani wana jf naomba mtu yoyote anayezijua nyimbo za kusifu na kuabudu aziwekeke hapa ili nifanye mpango wa kuzitafuta. Zinanigusa mnoo nikizisikiliza. Mbarikiwe wote
 
Kuna baadhi nazifaham kwa mfano za sedekia na marehem anjela chibalonzo. Ila nyingi sizikumbuki hadi nisikie zikipigwa
 
sarah K
suma mwakalubule
lisu
godwin ombeni
ruachi group
Goodluck sunday
tafuta hizi albam hutajutia ni nzuri sana na zina mguso wa kipekee
 
sarah K
suma mwakalubule
lisu
godwin ombeni
ruachi group
Goodluck sunday
tafuta hizi albam hutajutia ni nzuri sana na zina mguso wa kipekee

Asante sana yaani umeugusa moyo wangu! kwani hata mm nazipenda sana.Ubarikiwe sana.
 
sarah K
suma mwakalubule
lisu
godwin ombeni
ruachi group
Goodluck sunday
tafuta hizi albam hutajutia ni nzuri sana na zina mguso wa kipekee


Mkuu shukran sana. Ngoja nizitafute . Ubarikiwe
 
mwenye nyimbohizi please anaielekeze pakudownload maana niktafuta youtube nakuta tu watu wameimbaimba tu mbaya
wewe ni mfalme wa wafalme
hakuna usiloweza
 
Nenda Google download app inaitwa vidmate. Ndo utumie iyo sas ipo vzur, utapata vitu unavyoitaji
 
Back
Top Bottom