HISTAMINE
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 580
- 1,388
Ee bwana najua kila kabila wana nyimbo zao ila za hawa watu zimekuwa nyingi mno! Kuna jamaa yangu huwa anajishughulisha na kazi za u-DJ, aliwahi kuniambia akialikwa kutumbuiza kwenye sherehe zao, asipopiga nyimbo zao ama akijichanganya kupiga sijui Kwangwaru sijui Masozi basi halipwi!
Tatizo ni tukiwa kwenye public places, kwenye magari ya abiria, bar, n.k, yaani nako zinapigwa hizo tuuu hadi zinakuwa kero masikioni! Afu wimbo mmoja ni mreeefu dakika kumi na zaidi..
Niwaombe tu ndugu zangu wasanii wa Kisukuma kuwa wabunifu zaidi kufanya nyimbo zenu zieleweke na zipendwe na wasikilizaji wote, hata wasio wa kutoka jamii yenu. Boresheni tune angau ama sauti, maana kuna tone za nyimbo nzuri tunazipenda japo hatuelewi maana.. mfano Makhirikhiri na nyimbo zao.